Diamond: Hamisa Mobeto unaonekana wewe haushindwi hata kumuua mama yangu

Diamond: Hamisa Mobeto unaonekana wewe haushindwi hata kumuua mama yangu

diamond mjanja sana.. anatumia drama life style kumfanya awe juu siku zote..

juzi kasuka.. kaongelewa kila sehemu.. mtandao kauteka wote.

leo kaibuka na drama ya kurogwa..

huyu jamaa lazima awe tajiri tu.. ana akili sana ya kupata hela
Na ile tuzo lazima atashinda tuu maana so Kwa drama hizi
 
Back
Top Bottom