Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kina Bakhresa sijui wasemeje, falla sana huyu boya.Aaaaahhh....kumbe hizi ndiyo story za mabilionea!!!
Hana akili hiyo,ana tamaa na kupenda kuiga tembo kunya mavi makubwa tuMmh vya bure ghali Hamisa mtegemee Mungu akuwezeshe ununue kiwanja ujenge nyumba yako.
Huyu hamisa kama kweli anaweza kuongea upuuzi ule kwenye simu basi ni tahira kiwango cha dreamliner ....wenzake tukiwa na madeal ya maana hatuongelei kwenye simu kitu kinapigwa uso kwa uso..mliosikiliza izo voice note uyo anayeongea ni Hamisa kweli au sauti za kutengeneza?
kama ni yeye kweli anawezaje kuongea hayo mambo kwenye simu?
kama niyakutengeneza basi wahusika walipaswa kuvikwa nyuklia uko North Korea
Unaamini vipi kama huyo ndio ameongea hayo? Unaifahamu vizuri teknolojia ilipofikia? Unaelewa lolote kuhusu setup na blackmail?Huyu hamisa kama kweli anaweza kuongea upuuzi ule kwenye simu basi ni tahira kiwango cha dreamliner ....wenzake tukiwa na madeal ya maana hatuongelei kwenye simu kitu kinapigwa uso kwa uso..
Halafu mtu ambaye mpaka sasa hivi anaamini kwenye uchawi basi akili zake haziko sawa sana
January mbali mkuu, kun hii quarter ya mwisho inafuatia ndani ya wiki mbiliJanuary haiko mbali tujikite kuandaa ada za watoto msije mkaona kama mlishtukizwa, achaneni na hawa wapuuzi wote.
Napenda muziki wake lakini sipendi upuuzi na uswahili wake falla huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm is happy ikiona kuna raia wajinga kama huyu maana itatawala milele.mchawi kaumbuka...KWISHINEI...BRAND IS DOWN. tummzika mobetto, Steve nyerere wa rambaramba uko wapi mzee baba?
na ww huna tofauti na kichaa...JIWECcm is happy ikiona kuna raia wajinga kama huyu maana itatawala milele.
Mtu kama huyu haña tofauti yoyote na maiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
amebarikiwa mwanamke aliyejitambua kwa kiwango chako cha kufikiriMmh vya bure ghali Hamisa mtegemee Mungu akuwezeshe ununue kiwanja ujenge nyumba yako.
Hafu MTU anayemvulia chupi, na kumzalia yeye huwazalilisha ma baby mamasunawezaje kumchafua mtu kiasi icho kisa tu uongelewe? kuna watu wanaroho mbaya kupitiliza
ila nilichogundua Hamisa na yeye kakaa mkao wa kudhalilishwa hasipotafuta maisha nje ya diamond yatamkuta makubwa zaidiHafu MTU anayemvulia chupi, na kumzalia yeye huwazalilisha ma baby mamas
Ni kweli sikuhizi.usipokuwa na kitu hauheshimiwi kabisa diamond ana muoga Zari maana anajielewaila nilichogundua Hamisa na yeye kakaa mkao wa kudhalilishwa hasipotafuta maisha nje ya diamond yatamkuta makubwa zaidi
hako kadada ndio kapumbavu, kanamg'ang'ania domo wa nn huku kanadhalilishwa kila sikuKapumbavu kweli haka kavulana hilo domo.
Kanafikiri kutafuta kiki kwa kumsingizia mzazi mwenzie ni akili.