babu chodo
Member
- Apr 1, 2014
- 90
- 23
Huyu sepeta hajitambui anacha kitafuta shuhuli ya kumletea kipato nikumkashifu zari.na wewezari usijibishane na mtu aliyekwama na wala usijifananishe nae hafanani nawewe hata robo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeongea pointi apunguze kuweka mambo yake binafsi hadharani labda ya kazi pia aache au hapunguze kuwajibu.Piga kazi dogo pia nawewe acha kujipambanua sana mambo yako kwenye social media, hao wenzio kutwa nzima kwenye insta halafu hawana kazi yyte, watu wanamna hiyo wengi wao ni masikini mno na huwezi kujua hata kwao, tena wengine wametelekeza watoto MAMAYE ZAO, yaani watz bwana, aliyesema wazungu wameleta simu zitulemaze inawezekana kweli, yaani smart phone imewakuta waswahili!!!!! zinajutaje???
hata mimi U-ccm ndio umenitoa kwakwe lakini mambo ya mtoto na DNA wamawachie yeye.Umesema kweli kijana.
Tatizo ni hao mademu wako wa zamani, si unajuwa wamemisi pesa yako. But all in all imefike mwisho mfunge mijadala sasa ya mtoto.
Mtoto ni wako na hata asingekuwa wako hayawahusu. Sawa nami tatizo ni huo u ccm wako tu unless nyimbo zako uko vizuri
Wanaumia mpaka wanaumwa tena sana! Haiwezekani kila siku chokochoko zao tu utadhani dai hakuwahi kuwa na wanawake wengine huko nyuma.
Tatizo wanataka waachane amrudie Wema aanze kumpiga hela zake kipindi kile Diamond hakuwa na hela mingi kama sa hivi! Kilicho muuma ni ugomvi wa watu wazima kuingiza mtoto! Wema kweli kibakaWanaumia mpaka wanaumwa tena sana! Haiwezekani kila siku chokochoko zao tu utadhani dai hakuwahi kuwa na wanawake wengine huko nyuma.
Tatizo wanataka waachane amrudie Wema aanze kumpiga hela zake kipindi kile Diamond hakuwa na hela mingi kama sa hivi! Kilicho muuma ni ugomvi wa watu wazima kuingiza mtoto! Wema kweli kibaka
Mkuu vita havina macho,dah kazi sana aisee.Inasikitisha pale ugomvi WA watu wazima wanamwingiza mtoto asie Na hatia.
Hakujibu we kama nani??? Yeye ndiye muhusika na mwenyewe ameridhika we inakuhusu nini.??Mbona kakimbiia hela na viwanja, wengine baba zao walishawanunulia, wanahangaika nini. Hajajibu hoja ya msingi, Kitanda kimezaa Haramu?
Yani kabisa unakomenti vitu kama hivi alafu unamuita mwenzio hana akili!!! Kwahiyo wewe ulitaka apost kitu gani??? Au akipost picha za mtoto wake wewe unaumia?? ile ndo furaha yake ya maisha kwa sasa muache ajinafasi kwa kumpost Tee atakavyo, wewe shika jembe ukalime, fanya yako sio kumdiss mtoto mdogo vile malaika wa Mungu..Kucha kutwa anapost picha za mtoto na maneno kibao kuhusu mtoto....halafu anataka watu wasi-comment!!! huo ni uendawazimu. Mi nafikiri Diamond sio mzima kiakili.
Yani kabisa unakomenti vitu kama hivi alafu unamuita mwenzio hana akili!!! Kwahiyo wewe ulitaka apost kitu gani??? Au akipost picha za mtoto wake wewe unaumia?? ile ndo furaha yake ya maisha kwa sasa muache ajinafasi kwa kumpost Tee atakavyo, wewe shika jembe ukalime, fanya yako sio kumdiss mtoto mdogo vile malaika wa Mungu..
Tatizo lenu mmekuwa brain washed na waandishi uchwara wa magazeti ya udaku (specifically gazeti la Kiu) ambao wanalipwa na Mlimbwende wenu ili wamchafue Chibu, ndo mana mkiambiwa mjenge hoja kwanini mnasema mtoto sio wa Chibu mnaanza kujing'atang'ata, you don't even have the first clue of what you talking about..Hukunielewa........Nilichoongea ni kwamba ukiweka post maana yake unataka comments!, sasa usilazimishe comment ziwe za kusifiwa. Halafu, hivi mtu akisema mwanao sio unaemlea hukumzaa wewe anakua kamdis mtoto au mzazi?