Diamond: Hata kama mtoto si wangu niacheni

Diamond: Hata kama mtoto si wangu niacheni

Huyu sepeta hajitambui anacha kitafuta shuhuli ya kumletea kipato nikumkashifu zari.na wewezari usijibishane na mtu aliyekwama na wala usijifananishe nae hafanani nawewe hata robo
 
Piga kazi dogo pia nawewe acha kujipambanua sana mambo yako kwenye social media, hao wenzio kutwa nzima kwenye insta halafu hawana kazi yyte, watu wanamna hiyo wengi wao ni masikini mno na huwezi kujua hata kwao, tena wengine wametelekeza watoto MAMAYE ZAO, yaani watz bwana, aliyesema wazungu wameleta simu zitulemaze inawezekana kweli, yaani smart phone imewakuta waswahili!!!!! zinajutaje???
 
Mkuu umeongea pointi apunguze kuweka mambo yake binafsi hadharani labda ya kazi pia aache au hapunguze kuwajibu.
 
kama vipi ongeza mwingine fasta tuone wataongeza maneni au watakata bruda
 
hao wanaouliza tiffah hajambo sio wanakukejeli kweli>
 
........Tatizo la ajira nchi hii ni kubwa sana....unaliona
wazi zaidi wakati mtu mzima anapokuwa busy
kujadili kama mtoto ni wa Diamond au sio
wake.....tena anapiga hesabu kabisa kwa calculator
kuhesabu miezi....

By EDO KUMWEMBE
 
Umesema kweli kijana.
Tatizo ni hao mademu wako wa zamani, si unajuwa wamemisi pesa yako. But all in all imefike mwisho mfunge mijadala sasa ya mtoto.

Mtoto ni wako na hata asingekuwa wako hayawahusu. Sawa nami tatizo ni huo u ccm wako tu unless nyimbo zako uko vizuri
hata mimi U-ccm ndio umenitoa kwakwe lakini mambo ya mtoto na DNA wamawachie yeye.
 
Wanaumia mpaka wanaumwa tena sana! Haiwezekani kila siku chokochoko zao tu utadhani dai hakuwahi kuwa na wanawake wengine huko nyuma.
Wanaumia mpaka wanaumwa tena sana! Haiwezekani kila siku chokochoko zao tu utadhani dai hakuwahi kuwa na wanawake wengine huko nyuma.
Tatizo wanataka waachane amrudie Wema aanze kumpiga hela zake kipindi kile Diamond hakuwa na hela mingi kama sa hivi! Kilicho muuma ni ugomvi wa watu wazima kuingiza mtoto! Wema kweli kibaka
 
Tatizo wanataka waachane amrudie Wema aanze kumpiga hela zake kipindi kile Diamond hakuwa na hela mingi kama sa hivi! Kilicho muuma ni ugomvi wa watu wazima kuingiza mtoto! Wema kweli kibaka

Na mondi alishasema bora afe kwa wema harudii...Hajapata bwana wa maana ndio maana anahaha kurudi kwa dai alishazoeaga suluhu za zitto kabwe sasa hivii hata zitto mwenyewe kamkubali zari kifaa
 
Mimi namshangaa alivyojitafutia umaarufu kwenye mitandao alitegemea nini. Kila mtu ana access na insta account yake. Anabandika picha zake private na anaruhusu watu kucomment. Kwa kifupi ameadopt family yenye watu zaidi ya malaki pengine mamilioni. Wenzake kwenye familia zao ndogo wanapata maswali "huyu mtoto wetu kweli? hiyo nyonga...". Hayo maswali ya kawaida sana ndani ya familia. Kujiexpose kuna faida na hasara zake! Asitake azungumziwe kwa mazuri tu. Grow up Diamond
 
Tehe tehe tehe, ujana ni mapito. Asiyenaye akimpata mtoto naamini atatulia na atakuwa busy kulea.
 
Kucha kutwa anapost picha za mtoto na maneno kibao kuhusu mtoto....halafu anataka watu wasi-comment!!! huo ni uendawazimu. Mi nafikiri Diamond sio mzima kiakili.
 
Mbona kakimbiia hela na viwanja, wengine baba zao walishawanunulia, wanahangaika nini. Hajajibu hoja ya msingi, Kitanda kimezaa Haramu?
Hakujibu we kama nani??? Yeye ndiye muhusika na mwenyewe ameridhika we inakuhusu nini.??
 
Kucha kutwa anapost picha za mtoto na maneno kibao kuhusu mtoto....halafu anataka watu wasi-comment!!! huo ni uendawazimu. Mi nafikiri Diamond sio mzima kiakili.
Yani kabisa unakomenti vitu kama hivi alafu unamuita mwenzio hana akili!!! Kwahiyo wewe ulitaka apost kitu gani??? Au akipost picha za mtoto wake wewe unaumia?? ile ndo furaha yake ya maisha kwa sasa muache ajinafasi kwa kumpost Tee atakavyo, wewe shika jembe ukalime, fanya yako sio kumdiss mtoto mdogo vile malaika wa Mungu..
 
Ni kweli wamwache maana hata kama kuna msemo ya kwamba kitanda hakizai haramu
 
Yani kabisa unakomenti vitu kama hivi alafu unamuita mwenzio hana akili!!! Kwahiyo wewe ulitaka apost kitu gani??? Au akipost picha za mtoto wake wewe unaumia?? ile ndo furaha yake ya maisha kwa sasa muache ajinafasi kwa kumpost Tee atakavyo, wewe shika jembe ukalime, fanya yako sio kumdiss mtoto mdogo vile malaika wa Mungu..

Hukunielewa........Nilichoongea ni kwamba ukiweka post maana yake unataka comments!, sasa usilazimishe comment ziwe za kusifiwa. Halafu, hivi mtu akisema mwanao sio unaemlea hukumzaa wewe anakua kamdis mtoto au mzazi?
 
Tatizo lenu mmekuwa brain washed na waandishi uchwara wa magazeti ya udaku (specifically gazeti la Kiu) ambao wanalipwa na Mlimbwende wenu ili wamchafue Chibu, ndo mana mkiambiwa mjenge hoja kwanini mnasema mtoto sio wa Chibu mnaanza kujing'atang'ata, you don't even have the first clue of what you talking about..
 
Back
Top Bottom