daimond anajiandika mwenyewe??? au huwa anaenda kwa shigongo kumuomba amwandike???
si ni mapaparazi wake kutwa kucha kumfuatilia kila aendapo na kila alifanyalo??? kwa kuamini kumuandika daimond kila siku ndio atauza???
yanayomchafua daimond ni magazeti, au mlishamuona ameitisha press comference na kuomba magazeti wamchapishe kila siku??
hapo nyuma kidogo kuna gazeti lilimtoa kiba amepozi na mdada wakaandika kiba aamua kumuanika mpenzi wake mpya,ilikuawaje hata akampublish huyo mpenzi wake?? kama sio mtu wa show off?? sema haikuvuma sana kwa sababu kiba mwenyewe wakati huo alikuwa havumi.
ndio maana nasemaaaaa, kwa mtu yeyote kuwa na scandal au kutokuwa nazo ni uamuzi wa shigongo, na hizi blogs shigongo akiamua kugeuzia camera zake kwa kiba akapokezana na hizi blogs, huyu akacopy huku akapaste kule kiba ataomba pooo.
kama hauamini, give your self time, si ndio mpo kwenye kampeni ya kumpaisha kiba, ngoja afike pale shigongo anapopataka, ndio utakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kumjudge daimond.
nikukumbushe kidogo, kuna mtu Tanzania hii alishawahi kuandikwa kama SINTAH??? enzi za juma nature?? mpaka akapewa tunzo ya kuandikwa sana kwenye KLM awards? mpaka aliatemty suicide nakumbuka, what happen baada ya kuachana na juma nature??? shigongo katurn off his camera on her.
so please try to think again unavyomjudge mtu kwa habari ulioisoma kwenye gazeti.