mtanzalendo
Member
- Aug 29, 2014
- 74
- 121
Dah huyu Diamond huyu kapigana vita nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamu iwe kwa miguuMbona Jide hajashushwa? Ana hela kuliko Nassib, ana tuzo nyingi kuliko Nassib.
Ana gari la thamani kuliko Nassib. Ukweli ni kwamba hakuna msanii atakuwa juu miaka yote.
Mwambieni ukweli Nassib kuwa wakati huu anapaswa kujaribu kubadilika kimuziki ili kubaki juu, kwani mashabiki wake mmebaki wachache na ndio maana kelele zenu hazikutosha kwenye Fiesta.
Mficha maradhi mauti humfichua. Mwambieni ukweli.
Ova
ndugu yangu huyo kashavuta tayari mambo yake usimchukie mzoeee tuNakushauri, ukishakula na ukiwa hauna stress za maisha njoo usome tena utaelewa tu.
na bado vita haitasimama mpaka afe maana mmhh waswahili noma sanaDah huyu Diamond huyu kapigana vita nyingi.