Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
nikujibu, ni mwanamziki yupi wa kike ameshamfikia au kumpita jide??? kwa hizi tabia zenu za kiswazi ngoja atokee kama atapona??Mbona Jide hajashushwa? Ana hela kuliko Nassib, ana tuzo nyingi kuliko Nassib.
Ana gari la thamani kuliko Nassib. Ukweli ni kwamba hakuna msanii atakuwa juu miaka yote.
Mwambieni ukweli Nassib kuwa wakati huu anapaswa kujaribu kubadilika kimuziki ili kubaki juu, kwani mashabiki wake mmebaki wachache na ndio maana kelele zenu hazikutosha kwenye Fiesta.
Mficha maradhi mauti humfichua. Mwambieni ukweli.
Ova
Uswahili hauwezi ishaaaa,watu wanaongeaa weeeee utadhani wanalipwa mshahara,Tanzania bila Uswahili haiendiii wengine wanajiita wasomi lakini waswahili, wanafiki,wachawiii,lakini mwisho wa siku wataongeaaa weee na watalalaaa
Wivu unatusumbua wabongo sanaaa yaan hata kwa kitu kidogo mtu anaumiaaa ndio ilivyo kwa Diamond, Ally kiba kapata kiki baada ya bifu na diamond na hiyo kuzomewaaa mbona kina Fetty waliandaa mazingira muda ule wanamsifia kiba na kusema team kiba mpooooo huo ni uchonganishiiii ,kiba alikuwepo toka zamanii kuzubaa kwake ndio kumemfanya hivyooo,Akichangamka atafika alipofika Diamond kama kuitwa kushindania tuzo, Diamond hawez kukata tamaaa,mi ningemshaurii asihudhurie hayo mafiesta yao kabisaaa afanye kama Lady jide alivyofanya basiii
(Nimeandika navyojisikia staki kubishana na mtu,toa maoni yako bila kubishana na kila mtu aandike anachojisikiaaa sio)
Na hii ndio sababu kuu ya kuzomewa pale leaders...watu wamekasirika kwelikweli
Huyo Kiba hana jipya wimbo toka autoe hata video hamna. Hawezi kumfikia Daimond hata akeshe na akumbuke aliyepewa kapewa. Kwanza vipi kuhusu yule mamake wa BSS bado anamlea au.
Me sio shabiki wa muziki sana wa tz lkn niliumia sana kusikia kashfa kutoka kwa diamond kwenda kwa ali kiba,,,,,, diamond ajifunze la kuongea kuhusu wasanii wenzake!!!!!!!!!!!
Mf bakhresa mbona hakashifu kuhusu wafanyabiashara wengine japo hawajafanikiwa kama yeye..
kweli inasikitisha sana kuona ni namna gani watu hawapendi maendeleo ya wenzao, wanamchukia kijana wa watu bila sababu za msingi.
hoja zao za ajabu sana eti sikuhizi anadharau, kamdharau nani na kivipi, majibu yake hayana evidence.
wamesahau hata kiba baada ya kutoka kwa Rkelly kule walisema dogo siku hizi ananata na kujiskia sana kisa kafanya collabo na R kelly??? mmesahau mlimponda???
mmesahau mlimponda kuwa anabemendwa na wamama watu wazima na kusahau mziki???mmesahau???
utamskia mtu anasema kiba hana scandal, tumpe kazi shigongo aingie kazini atuletee file lake???
inshu ya yeye kuzaa na wanawake wawili tofauti?? vipi ingekua ni daimond ndio kafanya hivyo?? kwa kiba mtasema ni kawaida, kwa dai mtasema ni mchafu wa tabia.
vipi kuhusu kiba kutoka na spora, lulu na ritha ?? hizo sio scandal?? hayo hayazungumzwi, mmekaa kumuhesabia daimond wanawake, mbona wa kiba hamuwahesabu???
mnakuja na msemo wa eti kiba hapendi showoff, nini maana ya huu msemo?? zote hizi ni chuki tuu, na kukosa uzalendo.
soo sad kwa kweli
Huyo Kiba hana jipya wimbo toka autoe hata video hamna. Hawezi kumfikia Daimond hata akeshe na akumbuke aliyepewa kapewa. Kwanza vipi kuhusu yule mamake wa BSS bado anamlea au.
Huyo Kiba hana jipya wimbo toka autoe hata video hamna. Hawezi kumfikia Daimond hata akeshe na akumbuke aliyepewa kapewa. Kwanza vipi kuhusu yule mamake wa BSS bado anamlea au.
huyo kiba ushamsikia anajitangazza? bosi wako kutwaaa kuchaa na hawara yake kwenye magazeti!!
kidogi kashawafata global wamuandike
ishu sio kuzaa na wanawake wawili au watatu ishu anapaswa awe na privacy
sio kila kitu global mda wote yuko location
mfano monalisa kaolewa kanisani akazaa mtoto wakatengana akaolewa tena msiktini na slim akazaa na akaachika but we still respect her!
do you know why?!!!!!
mwingine jide aliolewa na mme wa mtu but people respect her...!!!unajua kwa nini?!!
anajiumiza mwenyewe huyo naseeeb kwani ye ndo wa kwanza kuhit tz kiivyo kutwa na mateam mavimavi tuuuuuu!!!
Mti wenye matunda ndio upigwao mawe, ukiona watu wana chuki sana ,wivu sana,wanakuongelea sana,ujue kuna kitu umewazidi mbali mnoooooo
daimond anajiandika mwenyewe??? au huwa anaenda kwa shigongo kumuomba amwandike???
si ni mapaparazi wake kutwa kucha kumfuatilia kila aendapo na kila alifanyalo??? kwa kuamini kumuandika daimond kila siku ndio atauza???
yanayomchafua daimond ni magazeti, au mlishamuona ameitisha press comference na kuomba magazeti wamchapishe kila siku??
hapo nyuma kidogo kuna gazeti lilimtoa kiba amepozi na mdada wakaandika kiba aamua kumuanika mpenzi wake mpya,ilikuawaje hata akampublish huyo mpenzi wake?? kama sio mtu wa show off?? sema haikuvuma sana kwa sababu kiba mwenyewe wakati huo alikuwa havumi.
ndio maana nasemaaaaa, kwa mtu yeyote kuwa na scandal au kutokuwa nazo ni uamuzi wa shigongo, na hizi blogs shigongo akiamua kugeuzia camera zake kwa kiba akapokezana na hizi blogs, huyu akacopy huku akapaste kule kiba ataomba pooo.
kama hauamini, give your self time, si ndio mpo kwenye kampeni ya kumpaisha kiba, ngoja afike pale shigongo anapopataka, ndio utakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kumjudge daimond.
nikukumbushe kidogo, kuna mtu Tanzania hii alishawahi kuandikwa kama SINTAH??? enzi za juma nature?? mpaka akapewa tunzo ya kuandikwa sana kwenye KLM awards? mpaka aliatemty suicide nakumbuka, what happen baada ya kuachana na juma nature??? shigongo katurn off his camera on her.
so please try to think again unavyomjudge mtu kwa habari ulioisoma kwenye gazeti.
Bahadhi ya wabongo,sijui hizi roho za kishetani wanatoa wap?full ujuma,usuuda,uongo na umbeya ukifanikiwa tuuuh.
nikujibu, ni mwanamziki yupi wa kike ameshamfikia au kumpita jide??? kwa hizi tabia zenu za kiswazi ngoja atokee kama atapona??
maelezo meengi
instagram nakooo?!!!
wanahack account?
tetea tu show off hizi nyie mngeenda kumshangilia pale juzi msilalamike sana!!!!
km kweli mnampenda mngeenda maana wanaompenda kiba walienda so dont blame anyonr here
yaleyale mt hapigi kura halafu analalamika mbunge wenyewe hafai!