Diamond hawa ndio wabongo, chukua ushauri wangu

Alivyosema #TeamDiamond hukumsikia???
 
mimi na familia yangu tulikuwa tunanunua vocha kwake zamani, kuna jingine la ziada?
Kwahiyo kinakuuma kuona mtu aliyekua anawauzia vocha zamani ndo keshapanchi na hawezi tena kuwauzia vocha... hata kama ni ngumu kumeza, vumilia hivyo hivyo, kama vipi shushia na maji ya bariiiiiidi!! Nimegundua sawa na wenzako kumbe hata nawe huna sababu ya msingi ya kumchukia mchizi!!!
 
Ndio ujue marafiki wa kweli na wa uongo ukipata misuko suko,huyu maatope ni shabiki namba moja wa domo lakini leo kamuhama hhhhhaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe na roho mbaya yako yakumsapoti diamond anaetengua maadili na kuwagaragaza wanawake mila siku.. Acha uhobwe wewe stuka.....
Maajabu mengine ya haters wa Diamond haya hapa... hao wanaomegwa hawajalalamika unakuja kulalamika wewe.... eh!!!! Cha ajabu zaidi sijasikia Diamond kamega vitoto vya shule... sasa wakimegwa akina Wolper, Penny, Kidoti wewe kinakuuma nini? Yale yale... oh, anajitangazia kwamba amemtoa Davido... malalamika nyinyi wakati Davido mwenyewe hajalalamika!!!
 
Ndio ujue marafiki wa kweli na wa uongo ukipata misuko suko,huyu maatope ni shabiki namba moja wa domo lakini leo kamuhama hhhhhaaaaaaaaaaa
Kuna mwingine ndo kaleta mpya... eti oh, anagalagaza wanawake... sio watoto, bali wanawake! Cha ajabu hao wanawake wenyewe waliogalagazwa wala hawajawahi kulalamika kwamba wanagalagazwa na Diamond lakini kuna mtu humu jamvini kinamuuma!!
 
Labda kwa mtazamo wako. Na siyo kweli kuwa watu wana chuki kiivyo na huyo Almasi. Ila ukileta dharau, utajibiwa tu, na tayari kakumbushwa kutokujisahau sana. Ajifunze!
Wewe umedharauliwa nini na Diamond? Je, umeshawahi kukaa mara ngapi jirani na Diamond ukamsikia anawadharau watu?
 
Ndio ujue marafiki wa kweli na wa uongo ukipata misuko suko,huyu maatope ni shabiki namba moja wa domo lakini leo kamuhama hhhhhaaaaaaaaaaa

hahahahahahahaha sijamuhama ila nimeji suspend untill atakapokumbuka humble background na mabega ayayushe kutoka kichwani..recently amekuwa anatoa kauli za ajabuajabu sana na vilevile napenda good music sasa kama hata perfomance alizidiwa na kiba kwa nini msikubali tu?

ukweli hauondoki kwamba diamond is hardworking na hacheleweshi video kama kiba lakini mapungufu yake yapo tena yamegusa pabaya sababu watanzania hawapendi dharau
 
mbona hata maji ya madumu nilkuwa nanunua kwa masanja mkandamizaji kule tabata lakini simchukii?
 
Hayaa leo unaandika kagazeti kadogo teh teh
 
Hahahaaa...ndo ushasema hivyooo....
Diamond ni Kigoma lineeee...kwa baba na mamaaa...
 
Kiba hana skendooo? Wakati nasikia kavuruga sana mtandao Pendwa wa Lulu...kumbukeni aliitwa hadi mahakamani kutoa ushahidi baada ya kifo cha the great...
 
mbona hata maji ya madumu nilkuwa nanunua kwa masanja mkandamizaji kule tabata lakini simchukii?
Mbona unazunguka zunguka tu... mara vocha, mara maji ya chupa, mara Masanja... vipi jombaa!!!?? Taja basi sababu zako za msingi zinazokufanya umchukie!
 
Mbona unazunguka zunguka tu... mara vocha, mara maji ya chupa, mara Masanja... vipi jombaa!!!?? Taja basi sababu zako za msingi zinazokufanya umchukie!

unafanya research au?
 
Kiba hana skendooo? Wakati nasikia kavuruga sana mtandao Pendwa wa Lulu...kumbukeni aliitwa hadi mahakamani kutoa ushahidi baada ya kifo cha the great...

Ndio hapo labda hizo ni skanda sio skendo
 
unafanya research au?
Taja sababu jombaa... kuna mwenzako mmoja humu kasema long time Diamond alikuwa nauza mtumba Migo Migo lakini siku hizi kaamua kumfungia vioo mshikaji mmoja wa pale Migomigo kwahiyo ndo maana anam-mind!!!! Au nitumie tu akili za kiutu uzima ni-conclude kwamba kumbe hata wewe huna sababu zinazokufanya umchukie Diamond lakini umeamua tu... labda ndo basi tena siku hizi hawauziii vocha!!! Waswahili mna mambo... mnajiskia raha sana mnapotuma wenzenu... wakijikomboa, nongwa!
 
ukishakusanya hizo sababu umfikishie"tajiri Dangote" muambie aachane na mahaters hao, wana wivu na wala hawawezi kumshusha kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…