kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
- Thread starter
- #41
Halafu ujue yule Mzee hajalalamika.
Kuna watu tunaamini kulipa kisasi ni alama ya udhaifu.Na hasa kama unalipa kwa mtu asiyeweza kujitetea.
Siamini kama Diamond anaona furaha sana akisikia mzazi wake anasaidiwa na watu baki wasio na uwezo.Ninadhani ili furaha yake iwe ya kweli,amsaidie baba yake hata kama hajamsamehe.
Hiyo spirit haitoi funzo kwa mtu yeyote!Mimi nilinyimwa pia pesa ya shule.Ila mzazi wangu nilimsamehe kitambo
Sent using Jamii Forums mobile app

Na wewe una hakika gani kuw hakumtelekeza makusudi?
We ushawahi kusikia mzee wake akijitetea kuwa hakumtelekeza?
Mimi nilishawhi kuona interview diamond akiongelea alivyoenda kwa baba yake kipindi ana ela kuomba ela ya shule akamtimua...
Hata yeye Diamond akiwatelekeza watoto wake bila kuwahudumia atavuna alichopanda... Hii ni funzi kwa wote yani ulalamike kuhudumiwa wakati ulikuwa na uwezo wa kuhudumia hukuhudumia???
Sent using Jamii Forums mobile app