Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona baada ya kiba kwenda IRINGA NA BUS jamaa wamechukua treni Hahahahaaa.....humu kwenye game watu wana role models wao bt kusema ndo ngumuHuyu jamaa ameenda Kigoma kwa 10 yrs yake kuanzimisha,
Hivi huko pia ni asili ya baba yake.
My take kama babu yupo hai amchimbe mkwala kuwa kwanza akapatane na mwanae kisha ndio amtambue kama.mjukuu,ila pesa sasa ndio tatizo
Watu walianza kwenda na mabasi sio basi MTWARA kwa konde boy au unajitoa ufahamu, ili la treni ni funga mwakaNaona baada ya kiba kwenda IRINGA NA BUS jamaa wamechukua treni Hahahahaaa.....humu kwenye game watu wana role models wao bt kusema ndo ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnataka nyie tu muende kwenu wengine wakienda mnakuja na story za kuokota okotaKaenda kwa kina Juma Njemba wa Ujiji Kwa Wabwali
Muulizeni Zitto au Mzee Malecela na Mzindakaya wawape Khabari za Juma Njemba kwa kirefu
Huyu jamaa ameenda Kigoma kwa 10 yrs yake kuanzimisha,
Hivi huko pia ni asili ya baba yake.
My take kama babu yupo hai amchimbe mkwala kuwa kwanza akapatane na mwanae kisha ndio amtambue kama.mjukuu,ila pesa sasa ndio tatizo
Naona baada ya kiba kwenda IRINGA NA BUS jamaa wamechukua treni Hahahahaaa.....humu kwenye game watu wana role models wao bt kusema ndo ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanganyika inapendeza zaidi kuliko Tanzania , muungano ndio uhai wa Tanzania ukivunjika jina linayeyuka anabaki mwenyewe Tanganyika
Ahahahaahaahh Diva anaweza pata kisukari ahahaahah
Yuko nje ya muda huyo ahahaahhaha
Ahahahaahaahh Diva anaweza pata kisukari ahahaahah
Mnataka nyie tu muende kwenu wengine wakienda mnakuja na story za kuokota okota