ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Msalimie mzee mwambie ahakikishe amelipa king'amuzi maana moto utawaka KIGOMA usiku huu tukiukaribisha mwaka 2020Mie nipo Msoga nimeingia Asubuhi ya Leo kuja kumsalimia na kumtakia Kheir ya Mwaka mpya Jongwe wa Wakwere Mjukuu wa Mzee Mizega Akida wa Wajerumani Mstahiki Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete