Diamond huenda Kigoma kwa nani?

mludego

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,597
Reaction score
3,565
Huyu jamaa ameenda Kigoma kwa 10 yrs yake kuanzimisha,
Hivi huko pia ni asili ya baba yake.

My take kama babu yupo hai amchimbe mkwala kuwa kwanza akapatane na mwanae kisha ndio amtambue kama.mjukuu,ila pesa sasa ndio tatizo
 
Babu yake kama yupo hai na yeye ana kosa la kujibu..
Hakumlea mwanae vizuri hadi akatelekeza mtoto wake.. babu alitakiwa kuomba msamaha yeye kwa kutokulea toto lake vizuri hadi likashindwa kuhudumia mtoto likamkimbia
 
Huyu jamaa ameenda Kigoma kwa 10 yrs yake kuanzimisha,
Hivi huko pia ni asili ya baba yake.

My take kama babu yupo hai amchimbe mkwala kuwa kwanza akapatane na mwanae kisha ndio amtambue kama.mjukuu,ila pesa sasa ndio tatizo
Naona baada ya kiba kwenda IRINGA NA BUS jamaa wamechukua treni Hahahahaaa.....humu kwenye game watu wana role models wao bt kusema ndo ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ugomvi wao si ulishaisha au ulitakaje kwani?
Huyu jamaa ameenda Kigoma kwa 10 yrs yake kuanzimisha,
Hivi huko pia ni asili ya baba yake.

My take kama babu yupo hai amchimbe mkwala kuwa kwanza akapatane na mwanae kisha ndio amtambue kama.mjukuu,ila pesa sasa ndio tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwa wajomba zake, kwani kuna tatizo!?
...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mnataka nyie tu muende kwenu wengine wakienda mnakuja na story za kuokota okota

Mie nipo Msoga nimeingia Asubuhi ya Leo kuja kumsalimia na kumtakia Kheir ya Mwaka mpya Jongwe wa Wakwere ...Mjukuu wa Mzee Mizega ...Akida wa Wajerumani ....Mtoto wa DC wa Kwanza Pangani na Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la ushauri la Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya 1965 ....Mstahiki na Muungwana Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…