Diamond huenda Kigoma kwa nani?

Mie nipo Msoga nimeingia Asubuhi ya Leo kuja kumsalimia na kumtakia Kheir ya Mwaka mpya Jongwe wa Wakwere Mjukuu wa Mzee Mizega Akida wa Wajerumani Mstahiki Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete
Msalimie mzee mwambie ahakikishe amelipa king'amuzi maana moto utawaka KIGOMA usiku huu tukiukaribisha mwaka 2020
 

Naona baba wa rizwan akisifiwa hapo,na wewe dingi ako alikua nani enzi hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mliopo huko KGM mtpatiu update za hio tour
 
Huyu jamaa ameenda Kigoma kwa 10 yrs yake kuanzimisha,
Hivi huko pia ni asili ya baba yake.

My take kama babu yupo hai amchimbe mkwala kuwa kwanza akapatane na mwanae kisha ndio amtambue kama.mjukuu,ila pesa sasa ndio tatizo
Kama unatelekeza Watoto kwa kutegemea wakilelewa na mama zao wakapata mafanikio watakusamehe sahau hilo. Ukizaa lea, kulea ni wajibu siyo hiari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
W
Kaenda kwa kina Juma Njemba wa Ujiji Kwa Wabwali

Muulizeni Zitto au Mzee Malecela na Mzindakaya wawape Khabari za Juma Njemba kwa kirefu
Zitto hamjui juma njemba!!!zitto sio mshiriki kama sisihemu!!
 
Uwepo wa Queen Darleen kwenye leka dutigite inaonesha Diamond ni Mkigoma both sides.
 
Ujiji Kwa Wabwali



Koma kabisa wewe, kwani umesikia Wabwali ni wachawi???--- uchawi ni wa mtu binafsi wala kabila halihusiki, hata wewe unaweza kuwa mchawi, je tulihukumu kabila lako??!!, angalia kijana usije kugeuzwa uso nyuma kichogo mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…