Mzee..wa.ujiji..vipi..unapatikana maeneo..gani?Koma kabisa wewe, kwani umesikia Wabwali ni wachawi???--- uchawi ni wa mtu binafsi wala kabila halihusiki, hata wewe unaweza kuwa mchawi, je tulihukumu kabila lako??!!, angalia kijana usije kugeuzwa uso nyuma kichogo mbele.
Mzee..wa.ujiji..vipi..unapatikana maeneo..gani?
Wabwari..ni..wafalme..wa.ujiji..au sioo!!
Ok,kwa nini?nawe muujiji unaandika,kama mrugaruga etc..wabwali,badala ya wabwari,unatokea mitaa gani ujiji?"Kwa ujumla" ni watu wastaarabu, waungwana na social and understanding wherever they are.
Vitu navyojivunia maishani ni
- Kua mwanaume
- Kua mzawa wa kwanza
- Kua mkristo mkatoliki
- Kua Muha
- Kua mshabiki wa Diamond
Ndamenya ye mwamba..Cha 1,2,3,4--- huwezi kujivunia kwasababu hayo yote sio juhudi zako binafsi isipokuwa ni mapenzi ya Mungu, unachoweza kujivunia nacho ni hicho no, 5 tu kwasababu hicho kimetokana na utashi wako binafsi.
Yee mugabo uramanya??🤣🤣
Babu yake si huyu mzee BujibujiPendekezo zuri, kwakuwa babu yake diamond yupo humu atakuwa amekusikia.
Ok,kwa nini?nawe muujiji unaandika,kama mrugaruga etc..wabwali,badala ya wabwari,unatokea mitaa gani ujiji?
Ndamenya ye mwamba..
Ila namba 3 nimeifanyia juhudi za kufa mtu ukizingatia nimelelewa visiwani. Kwenye uislamu
Haahhaahaa!! Acha uoga Mimi sio mpelelezi nilifikiri kwa sasa upo..ujiji unamshangaa diamond,ujiji ni sehemu pekee yenye burudani ya maisha duniani sema Yale mambo yetu Yaleee yakale yamekimbiza watu wengi kuukimbia mji mkongwe na kutokuujenga..nakushauri ujenge nyumbani hata kama hutarudi kuishi....inawezekana mkiamua kurudisha maendeleo nyumbani.Wewe ni mpelelezi ???!!, ng'ooo hunipati kwa njia hiyo, ila mimi ni Muujiji pure, mji wetu niliokulia hadi najitambua, ila kwasasa si ishi huko tena. Barabara ya lumumba, Barabara ya Livingston, Barabara ya kawawa, mtaa wa mtakuja, mtaa wa mwembengoma, mtaa wa songoro, mtaa wa kibamba, kagera, kipampa, kasingirima, Rubuga, Businde, Majengo, kitongoni, Buzebazeba,Burega, mnazi mmoja, majengo, Burega, luiche, kasimbu, Barabara ya Rusimbi nk, --- hayo yoote ni maeneo niliyokulia nayo, during those good days, bila kusahau kwenda kuogelea ziwa Tanganyika siku za jpili. Viva kigoma, viva ujiji, viva Migebuka na sangara , vyakula ninavyokosa leo-- vyakula vinavyojenga akili.🤣🤣
Bongolala tumelala kweli kweli,mwanamuziki anapokelewa kuliko rais aisee hii imevunja rekodi.Wabongo akili zao zishavurugika
Ndomana nasema hizi bongo fleva zimevuruga ubongo wa watu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mtu kupatana na Baba yake ni lazima?Huyu jamaa ameenda Kigoma kwa 10 yrs yake kuanzimisha,
Hivi huko pia ni asili ya baba yake.
My take kama babu yupo hai amchimbe mkwala kuwa kwanza akapatane na mwanae kisha ndio amtambue kama.mjukuu,ila pesa sasa ndio tatizo
Mawazo na vinywa vya watanzania wengiBongolala tumelala kweli kweli,mwanamuziki anapokelewa kuliko rais aisee hii imevunja rekodi.
Ndio hivyo tena Tanzania ya viwanda vya instagram na fesibuku kizazi kimekosa muelekeo sahihi.Mawazo na vinywa vya watanzania wengi
Sahv wanajadili khs mondi kigoma na konde Mtwara hko
Na Sahv ukifuatilia radio zote Kuanzia asubuhi mpk usiku ni bongo fleva zinapigwa, stori za shilole sjui kamfimania Nani etc Yaani ujinga ujinga tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mshabiki wa kibaHappy belated birthday soudy brown naskia majuz ilikuwa unasherekea kuzaliwa vipi hapo mjengon
Sent using Jamii Forums mobile app