Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

Leo hii nyumba ni ya mama Diamond na Uncle Rally [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3]zari alikua hawara tu!!

Kwenye mirathi hayupo
Mama diamond ndo kila kitu na baba diamond kama tu walifunga ndoa!
 
Leo hii nyumba ni ya mama Diamond na Uncle Rally [emoji23][emoji23][emoji23]
Mamboz. Hivi ulivyotowekaga kwenye mazingira tatanishi na PM uliifunga. Hiyo tabia sio nzuri.
 
Huyu naye atulize shobo, hii ni wiki ya Munalove asitutowe kwenye mstari.

Mambo ya urithi yanaandikishwa Rita au kwa wakili, asituletee kick za kisenge hapa.

Hayo ni mambo binafsi ya kifamilia hata akitaka nyumba ichomwe moto kivyake, atuache tumalizane na Muna kwanza.
 
[emoji3]zari alikua hawara tu!!

Kwenye mirathi hayupo
Mama diamond ndo kila kitu na baba diamond kama tu walifunga ndoa!

Imagine Zari ndio angeshaolewa na kuwa ndio mrithi,tungehama instagram.

Hata hivyo Diamond kumrithisha mama yake mali zake kafanya vizuri sana,maana yeye ndio mtu pekee mwenye mapenzi ya kweli na kujali maslahi ya mwanae.
 
Ndo maana alitaka ndoa[emoji3][emoji3][emoji16]Mungu fundi sana ujue!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuelewa sana Bro kwa comments zako.
I'm yo fan.
 
atahonga ela zote uyo bimkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…