Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

Huyu maza kila siku basdei yake?very good lakini.mi nafurahi sana kuona mtu anampa priority mama kwa kiasi hicho pasipo kujali.hilo ni funzo
 
atahonga ela zote uyo bimkubwa
Utashangaa hata kwenye msiba wake akawa mwenyekiti yeye tu.
Msichokijuwa utendakazi wa Mungu ataanza kufa huyu mama.

Mpango wa Mungu ni watoto kuwazika wazazi wao na siyo wazazi kuwazika watoto.

Kama huko kwenye madhabau yao ya shetani ameambiwa anakaribia kufa badi sawa.

Tangu mwanzo wa dunia hizi ndio salamu za kwanza za birthday wishes naona zinaandikwa kishirikina namna hii.
 


duuh Freemasons au vp
 
Sawa si mama ake arithi tu!kwanza daimond kidini hana mtoto hata mmoja so urithi labda awape hisani tu!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nshakwambia u mkorofi dadangu
 
Hakuna funzo hapo mkuu, wewe ni kipofu kuna kitu hukioni.

Inawezekana wewe pia ukasema Muna alikuwa anampenda sana mwanaye kwa tafsiri ya wajinga wengi.
His days are numbered
.he is living in a borrow time
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mambo ni motoooo kuna nyang'au leo hali mbaya
 
Naona mnajaribu kuzima kiki za jini Muna.

Anyway,

Hatuna haja ya kuyajua haya sisi, hata tukiyajua hayatusaidii kupambana na hali zetu.
 
kumbe kuzaliwa Tandale (tena Dar) hakuna tofauti na kuzaliwa Mwananjilinji.

yaani urithi unaandikwa social media?!!
 
Akumbuke pia, bila baba huyo mama asingepata mimba ya kumzaa yeye. Ajifunze kusamehe pia, palipo mama pana baba!, mbegu ilitoka kwa baba, yeye mama alikuwa mtunzaji wa mbegu na kuizalisha. Natarajia birthday ya baba yake atamalizia nusu iliyosalia kwa urithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…