hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
shangaa sasa " hapo jiongeze tu mkuu"" Jamaa ana tafuta tension tu katika jamii "" hakuna lingine " hata kama anampango huo wakumrithisha " mama yake "" binafsi sijaiona mantiki. ya yeye kuongea mambo nyeti kama hayo ya kifamilia "" kwenye mitandao....kama angefanya siri ya familia sidhani kama mama Yke angekosa huo urithi wakekwa nini asubiri afe ndio Mali achukue Mama yake.??
Laiti angempenda mama yake...kiu kweli kama anavyosema angempa hiyo nusu ya Mali hivi sasa!!!
na akifilisika?