Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

kwa nini asubiri afe ndio Mali achukue Mama yake.??

Laiti angempenda mama yake...kiu kweli kama anavyosema angempa hiyo nusu ya Mali hivi sasa!!!

na akifilisika?
shangaa sasa " hapo jiongeze tu mkuu"" Jamaa ana tafuta tension tu katika jamii "" hakuna lingine " hata kama anampango huo wakumrithisha " mama yake "" binafsi sijaiona mantiki. ya yeye kuongea mambo nyeti kama hayo ya kifamilia "" kwenye mitandao....kama angefanya siri ya familia sidhani kama mama Yke angekosa huo urithi wake
 
haha hahaaha nashangaa sana....kuna mijitu inapenda sifa za kise...........""
 
haha haha ... culture gal pitia hapa
 
kumbe kuzaliwa Tandale (tena Dar) hakuna tofauti na kuzaliwa Mwananjilinji.

yaani urithi unaandikwa social media?!!
A hahaha haha.... " watu wanapenda sifa mjini dàhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama namuona steve anavyomuwinda Dai maana anajua ni hela inayotembea pale maana atachangisha mpaka kwa Rick Ross daaaah hebu mungu tenda miujiza
 
Safi Sana Diamond,ukifanya mambo mazuri lazima tukupongeze wala hatupo na matimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…