Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

Kwanini anaamini yeye ndio ataanza kufa kabla ya mama yake? Wakati wazazi ndio huwa wanatangulia mara nyingi japokua sio sheria
 
"Mtoto wa nje ya ndoa", maana yake nini?
Aliyezaliwa kabla ya wazazi kuingia kwenye ndoa....
Ngoja nikujibu kabisaa maana ya ndoa usije niuliza tena;.Ndoa ni mkataba wa kuishi kati ya mwanaume na mwanamke kwa pamoja na amani;mkataba huo unafungwa mbele ya mashahidi na sheria au taratibu zilizopo kwenye dini husika!
 
ukifatilia sana hayo ya dini unaweza kujikuta hata wewe sio mtoto halali.....
Sawa sikatai ila ndo ilivyo hata km mimi sio halali na wala sitegemei urithi...!!!

Ila ukweli haubadiliki
 
Tanzania haiongozwi na dini bali katiba
Watu wa dini na tuna amink hvyo na ndo maana nimesema kidini hana watoto so ataenda huko kwenye secular akagawe Mali zake ila kidini hatambiliki kua na watoto
 
Atakachosaza bibi yao
Sheria za urithi za kiislam haziruhusu wosia unaozidi nusu ya mali,pia hazitambui wosia kwa mtu ambae ni miongoni mwa warithi.Mama ni miongoni mwa warithi kwahiyo haihitaji kuwekewa wosia, yeye atasubiri fungu lake tu kwa mujibu wa sheria. Kama wataamua kutumia sheria za dini yao.
 
Ila mama si anapigwa miti na yule buradha? Wew unashinda kuandika huku mitandaoni kuhusu mama yako wakati mali hizohizo ndo zimemfanya amekuwa chizi na sasa naye anautafuna ujana! Haya buana ila usimsahau pia na mrithi wa baba Nasseb yule anko wetu Esma!
 
[emoji41]tatzo ni ujui maana ya platnumz mapopo kama ww yata sema ni jina la mond
ESMA platnumz bwana " "acha kuruka ruka " mko insiperied na huo msamiati "" ...baada ya bwana wenu "" kuanza kulipaisha "",.. hahaha ati sijui maana ya platnumz "" ESMA unashida "...
 
Inawezekana wazee wa umoja wa siri wamemtonya atoe sadaka lasivyo watatuma mtoa roho. Dogo nampenda ni mbunifu
 
Sawa si mama ake arithi tu!kwanza daimond kidini hana mtoto hata mmoja so urithi labda awape hisani tu!
Yaap....kidini wale wanae ni marafiki tuu, hana mtoto pale mwenye haki !
 
Watakimbilia mahakamani fastaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…