wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,277
Msemaj katika ubora wakoKasema nusu mama yake, nadhani nusu nyingne wanae (nimemjibia hapo).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msemaj katika ubora wakoKasema nusu mama yake, nadhani nusu nyingne wanae (nimemjibia hapo).
hahaha ESMA platinum nakuona ...bora umekuja ..haya tuambie bwana wako ". petii bado anafanywa punda "..?[emoji41]tatzo ni ujui maana ya platnumz mapopo kama ww yata sema ni jina la mond
Lazma niheshmike[emoji3]Msemaj katika ubora wako
ukifatilia sana hayo ya dini unaweza kujikuta hata wewe sio mtoto halali.....Sawa si mama ake arithi tu!kwanza daimond kidini hana mtoto hata mmoja so urithi labda awape hisani tu!
Zari aliimalizia nyumba ya Madale akijua ni nyumba yake na Diamond
Tanzania haiongozwi na dini bali katibaSawa si mama ake arithi tu!kwanza daimond kidini hana mtoto hata mmoja so urithi labda awape hisani tu!
Aliyezaliwa kabla ya wazazi kuingia kwenye ndoa...."Mtoto wa nje ya ndoa", maana yake nini?
Sawa sikatai ila ndo ilivyo hata km mimi sio halali na wala sitegemei urithi...!!!ukifatilia sana hayo ya dini unaweza kujikuta hata wewe sio mtoto halali.....
Watu wa dini na tuna amink hvyo na ndo maana nimesema kidini hana watoto so ataenda huko kwenye secular akagawe Mali zake ila kidini hatambiliki kua na watotoTanzania haiongozwi na dini bali katiba
Sheria za urithi za kiislam haziruhusu wosia unaozidi nusu ya mali,pia hazitambui wosia kwa mtu ambae ni miongoni mwa warithi.Mama ni miongoni mwa warithi kwahiyo haihitaji kuwekewa wosia, yeye atasubiri fungu lake tu kwa mujibu wa sheria. Kama wataamua kutumia sheria za dini yao.Atakachosaza bibi yao
ESMA platnumz bwana " "acha kuruka ruka " mko insiperied na huo msamiati "" ...baada ya bwana wenu "" kuanza kulipaisha "",.. hahaha ati sijui maana ya platnumz "" ESMA unashida "...[emoji41]tatzo ni ujui maana ya platnumz mapopo kama ww yata sema ni jina la mond
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]atateba rambi rambi steve nyerere
Yaap....kidini wale wanae ni marafiki tuu, hana mtoto pale mwenye haki !Sawa si mama ake arithi tu!kwanza daimond kidini hana mtoto hata mmoja so urithi labda awape hisani tu!
....daaah ! Ulikuwa foreman !?Zari aliimalizia nyumba ya Madale akijua ni nyumba yake na Diamond
Watakimbilia mahakamani fastaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sheria za urithi za kiislam haziruhusu wosia unaozidi nusu ya mali,pia hazitambui wosia kwa mtu ambae ni miongoni mwa warithi.Mama ni miongoni mwa warithi kwahiyo haihitaji kuwekewa wosia, yeye atasubiri fungu lake tu kwa mujibu wa sheria. Kama wataamua kutumia sheria za dini yao.