Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Na kama bia anakopa au anazungushiwa round ndio kuwa na ela? Mawazo ya kijima haya.Safi sana Diamond, mama yake anastahili.. Vijana wote wangekuwa kama Diamond, hakika mambo yangekuwa mujarabu. Kuna jamaa mmoja alipigiwa simu na mama yake akiwa bar anapiga bia, mama yake kamwomba hela anamwambia asubiri mwisho wa mwezi.. Hahah.. Na kila sku anakula bia, sasa kama syo laana tuseme nn