Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

Safi sana Diamond, mama yake anastahili.. Vijana wote wangekuwa kama Diamond, hakika mambo yangekuwa mujarabu. Kuna jamaa mmoja alipigiwa simu na mama yake akiwa bar anapiga bia, mama yake kamwomba hela anamwambia asubiri mwisho wa mwezi.. Hahah.. Na kila sku anakula bia, sasa kama syo laana tuseme nn
Na kama bia anakopa au anazungushiwa round ndio kuwa na ela? Mawazo ya kijima haya.
 
Huyu naye atulize shobo, hii ni wiki ya Munalove asitutowe kwenye mstari.

Mambo ya urithi yanaandikishwa Rita au kwa wakili, asituletee kick za kisenge hapa.

Hayo ni mambo binafsi ya kifamilia hata akitaka nyumba ichomwe moto kivyake, atuache tumalizane na Muna kwanza.
Nimekuelewa sana Mkuu
 
Back
Top Bottom