Diamond is overrated - Jose Chameleone

Diamond is overrated - Jose Chameleone

Huyu dogo anatisha east atrika yote hskuna wa kumkamata hapo alipo
Afrika mashariki alishaikamata kitambo,saivi amefika West na South Afrika.Ingawa anatakiwa kujipenyeza kufika North Afrika kama atatia juhudi za kumarket
 
Afrika mashariki alishaikamata kitambo,saivi amefika West na South Afrika.Ingawa anatakiwa kujipenyeza kufika North Afrika kama atatia juhudi za kumarket
Hahaha huko kaswida tu
 
Kuna artist wengi Uganda wako vizuri kama Eddy Kenzo huyu jamaa ni popular sana west and central africa . Jamaa anajaza stadium akienda Ivory coast, Cameroon, Mali, Benin etc.
halafu waganda wako vizuri sana kwenye kuimba, lady Mariam,aziz azion, radio and weasel,navio etc
 
Diamond bila juhudi yake binafsi , hawezi hata kukaa category moja na watu kama Barnabas hapa Tanzania lakini juhudi yake imemfanya kuwa msanii wa Afrika huku watu kama chameleon ambao wana vipaji vikubwa wakibakia kuwa top ya kanda Fulani......

Diamond ni maana halisi ya juhudi na ubunifu binafsi .....

Nimeonesha hali halisi bila ya kuamini kuwa chameleon amesema jambo hilo
ww umesema kweli
 
Hili suala la kwamba the reason behind ni kwamba anajua kuji-market tunalikuza! Hivi huyo Diamond anatumia channels zipi za kuji-market ambazo wenzake hawazitumii?! Ni mwanamuziki yupi Tanzania hii especially hawa walio top ambae hatumii social media tena very aggressively kujitangaza? Ni nani asiyetumia Instagram, Twitter, Faceboook and the like? Huyo Diamond anatumia Radio stations zipi ambazo wengine hawazitumii?

Ukweli usemwe wazi; the guy is hardworking; PERIOD! The guy is always very hungry to move one step forward; huo ndio ukweli wenyewe! Jamaa anaipenda kazi yake na yupo tayari ku-spend more and more kuifanya kazi yake kuwa bora zaidi-b hii ndio siri ya Diamond! Watu mnajifanya tu kusahau lakini huyu dogo tangia aingie kwenye game hajawahi kujipweteka; tangu siku ame-release Nenda Kamwambie hadi hii Kidogo ya juzi! Na tangia akiwa huko huko chini; maneo kadhaa kama vile eti anatumia Uchawi yamekuwa yakiwesemwa dhidi yake; hii inaonesha wazi kwamba tangu zamani amekuwa very successful kiasi cha watu kuhusisha mafanikio yake na uchawi! Nakumbuka siku moja, almost 5 years ago kuna jamaa mmoja anajiita Ustaadh Abdallah alihojiwa Channel 5 akidai yeye ndo anamfanya Diamond kuwa juu na kv anamletea jeuri; LAZIMA amshushe! Miaka inaenda jamaa yupo pale pale!! Na kv ni hardworking, amekuwa akijenga Empire year after year kv tangia aingie kwenye game, hajawahi kupotea tofauti na hao wengine! Movement zake kwenye game ni CONSISTENT contrary na wengine! Wanamuziki karibu wote walioingia kwenye game kabla ya 2010 ni watu wa kuja na kutoka; hawana consistent na matokeo yake wanapoteza mashabiki! Hata wewe ukiwa very serious na consistent hata kwenye biashara ya nyanya; lazima utatusua tu na kujenga empire!

Kwahiyo the reason why yupo pale ni kwamba the guy is hardworking; hakurupuki! Haya mambo kwamba huyu eti anajua kuimba kuliko yule ni mambo ambayo hayawezi kuwa na jibu kv even honest judgment (contrary na hatred judgment) can be influenced by personal taste; PERIOD!
Kujimarket sio tu kujitangaza, kufanya kazi kwa bidii na ubora nayo ni kujimarket, mfano video bora , mavazi na kufeaturing na wanamuziki wengine wenye uwezo mkubwa
 
Ni kweli Kiongozi,Enzi za Jose chameleon zimepita.Manake alitamba pamoja na akina Mr Nice, enzi zao Afrika mashariki yote ilikuwa yao.Mwenzao Diamond amekwenda next level zaidi kwa kuishika Afrika nzima.
Wanapaswa kujitambua sasa....!!!
 
Chameleon ni namba nyingine. Si wa kumlinganisha na diamond
 
Inawezekana yuko sahihi...lakini ishu hapa ni kwamba katumia kigezo gani kuja na conclusion hiyo ??? Asilete porojo zake unjustified banaa. Kwahiyo anataka kusema Diamond hawezi kujaza stadium nchini Uganda?!!? That is too myopic of Camelion..!!!
 
While appearing on NTV’s The Beat, the Badilisha hitmaker revealed that he is way bigger than the Tanzanian singer and that he can also hold sold-out shows in Tanzania.

wdmbdgdihefkjsl9h57919e8262889.jpg

It appears like singer Diamond Platnumz has failed impress fellow musician, Jose Chameleone.

Chameleone, a Ugandan, has branded Diamond an overrated artiste, adding that he is not as big as he claims.

While appearing on NTV’s The Beat, the Badilisha hitmaker revealed that he is way bigger than the Tanzanian singer and that he can also hold sold-out shows in Tanzania.

“There is a difference between a TV musician and a stage musician. Diamond is not so big as many of you think, despite being famous on social media platforms like Instagram. When he came to Uganda, he was just in Club Guvnor. He can’t stage a sold-out show by himself in Uganda like me. I can fill stadiums in Tanzania (Diamond Platnumz’ country).” he said.

Efforts to reach Diamond to react to the matter were futile as his management did not pick or respond to our messages.

Source: Diamond is overrated- Jose Chameleone

But this is what people have been saying all the times. The dude is waaaay overrated, sema tu ana bahati ya kupendwa kama hatumii ile michezo ya Kiha (nguvu za giza).
 
Kujaza stadiums hata Diamond anaweza kujaza Kenya na Uganda...
Chamilion namuona mkali kuliko Diamond lakini si kwa kigezo cha kujaza stadiums....
Hata Mr Nice alijaza stadiums East Africa.....je alikuwa mkali kuliko wote?

Very good point, Diamond ni kama Mr. Nice enzi zile.....hana ukali wowote ule, mizizi na ndumba tu za kwao zinamsaidia.
 
Diamond ni mkali...aache masifa ya kijinga...inawezekana kifafa kimeathiri ubongo wake...maake aliwahi shikwa na kifafa na kudondoka toka gorofan pale Impala Hotel...Arusha.
Mkuu una kumbukumbu sana
 
All we care about is results!Wewe unaweza ukawa na akili sana,ukawa unatumia muda mchache sana kusoma lakini unapasua!Kuna mwingine anaelewa uwezo wake ni wa wastani!Hivyo akawa anasoma sana na anafaulu!Ikaja paper,huyu anayekesha akapasua kuliko wewe unayesoma kidogo japo wote mmefauli!Kila mtu atamsifia yule aliyesoma sana na kufaulu kuliko mwenzake!
Ni sawa na Diamond,anatambua lazima akaze ili afaulu!Huwa anasema hadharani kabisa,"ningekuwa na sauti kama ya Ali kiba ningekuwa mbali sana"!Yaani anaelewa uwezo wa Kiba ni mkubwa ila hajui kuutumia!Hayo Diamond kayaona!
Sisi mashabiki all that matters is result!Kiba Mwenyewe kwa Bella hagusi hata kwa mbali!
Ukute hata Kiba anajisemea kimoyomoyo "ningekuwa na uwezo wa kucheza kama Simba ningekuwa mbali"
 
While appearing on NTV’s The Beat, the Badilisha hitmaker revealed that he is way bigger than the Tanzanian singer and that he can also hold sold-out shows in Tanzania.

wdmbdgdihefkjsl9h57919e8262889.jpg

It appears like singer Diamond Platnumz has failed impress fellow musician, Jose Chameleone.

Chameleone, a Ugandan, has branded Diamond an overrated artiste, adding that he is not as big as he claims.

While appearing on NTV’s The Beat, the Badilisha hitmaker revealed that he is way bigger than the Tanzanian singer and that he can also hold sold-out shows in Tanzania.

“There is a difference between a TV musician and a stage musician. Diamond is not so big as many of you think, despite being famous on social media platforms like Instagram. When he came to Uganda, he was just in Club Guvnor. He can’t stage a sold-out show by himself in Uganda like me. I can fill stadiums in Tanzania (Diamond Platnumz’ country).” he said.

Efforts to reach Diamond to react to the matter were futile as his management did not pick or respond to our messages.

Source: Diamond is overrated- Jose Chameleone
huu ndio ukweli ila kwa kuwa watanzania hatupendi kuambiwa ukweli, tutawaka!
 
Back
Top Bottom