Abtali mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 665
- 515
anatafuta colabo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kumla mwanamke tatizo mbona ww mkeo kalia na jamaa zako?Yule ni mme mwezake for your information alishapitaga kwa Zari cku nyingi uliza waganda wakwambie
Huo ni uchambuzi mpya wa term "marketing"! Ngoja tuchukue Google's definition of marketing: "the action or business of promoting and selling products or services, including market research and advertising!"Kujimarket sio tu kujitangaza, kufanya kazi kwa bidii na ubora nayo ni kujimarket, mfano video bora , mavazi na kufeaturing na wanamuziki wengine wenye uwezo mkubwa
Chamellione anamzid diamond umri tuu na pesa kidg, but diamond is all the way Up kimziki and is higher than joseeAhahaa kwa mara ya kwanza leo nimejikuta nashindwa kuchagua nani mkali zaidi kati ya hawa wanamuziki
Sitaki kuulizwa kwa nini.
Kuwa more specific kiongoz wang, diamond haingiz maguu ktk lipi, ama unamaanisha kwa kila kitu, kitu ambacho c cha kwel, josee ni km legend tuu while dee is on top kwa east africa na africa recentlydiamond haingizi maguu kwa chameleone
Ukiangalia vituko vya Jose Chameleone huwezi kumuweka pamoja na Diamond. Sidhani kama Diamond alishawahi kuyafanya haya ya Jose Mayanja. Hebu peruzi hivi vituko:Kamkubali kimya kimya ndio maana kamjadili kwenye TV, mbona hajamtaja Manfongo?
kumbe uwezo ni sauti na cyo how to compose a songAll we care about is results!Wewe unaweza ukawa na akili sana,ukawa unatumia muda mchache sana kusoma lakini unapasua!Kuna mwingine anaelewa uwezo wake ni wa wastani!Hivyo akawa anasoma sana na anafaulu!Ikaja paper,huyu anayekesha akapasua kuliko wewe unayesoma kidogo japo wote mmefauli!Kila mtu atamsifia yule aliyesoma sana na kufaulu kuliko mwenzake!
Ni sawa na Diamond,anatambua lazima akaze ili afaulu!Huwa anasema hadharani kabisa,"ningekuwa na sauti kama ya Ali kiba ningekuwa mbali sana"!Yaani anaelewa uwezo wa Kiba ni mkubwa ila hajui kuutumia!Hayo Diamond kayaona!
Sisi mashabiki all that matters is result!Kiba Mwenyewe kwa Bella hagusi hata kwa mbali!
Ndio maana kuna watu watunzi wazuri sana wa muziki ila hawawezi kuimba!kumbe uwezo ni sauti na cyo how to compose a song
kwa mantik iyo chameleon hafikii kiba kiuwezo km kipimo cha mziki n sautiNdio maana kuna watu watunzi wazuri sana wa muziki ila hawawezi kuimba!
Usichanganye mambo,haina maana ukiwa na sauti ya kike ndio unaweza kuimba!Ladha inayotoka kinywani ndio hasa kipimo,haijalishi una Saudi nzito au nyembambakwa mantik iyo chameleon hafikii kiba kiuwezo km kipimo cha mziki n sauti
kwa hyo nyimbo za ndomo hazna ladha, mzaziUsichanganye mambo,haina maana ukiwa na sauti ya kike ndio unaweza kuimba!Ladha inayotoka kinywani ndio hasa kipimo,haijalishi una Saudi nzito au nyembamba
Hayo umesema wewekwa hyo nyimbo za ndomo hazna ladha, mzazi