Diamond is overrated - Jose Chameleone

Huyu dogo anatisha east atrika yote hskuna wa kumkamata hapo alipo
Afrika mashariki alishaikamata kitambo,saivi amefika West na South Afrika.Ingawa anatakiwa kujipenyeza kufika North Afrika kama atatia juhudi za kumarket
 
Afrika mashariki alishaikamata kitambo,saivi amefika West na South Afrika.Ingawa anatakiwa kujipenyeza kufika North Afrika kama atatia juhudi za kumarket
Hahaha huko kaswida tu
 
Kuna artist wengi Uganda wako vizuri kama Eddy Kenzo huyu jamaa ni popular sana west and central africa . Jamaa anajaza stadium akienda Ivory coast, Cameroon, Mali, Benin etc.
halafu waganda wako vizuri sana kwenye kuimba, lady Mariam,aziz azion, radio and weasel,navio etc
 
ww umesema kweli
 
Kujimarket sio tu kujitangaza, kufanya kazi kwa bidii na ubora nayo ni kujimarket, mfano video bora , mavazi na kufeaturing na wanamuziki wengine wenye uwezo mkubwa
 
Ni kweli Kiongozi,Enzi za Jose chameleon zimepita.Manake alitamba pamoja na akina Mr Nice, enzi zao Afrika mashariki yote ilikuwa yao.Mwenzao Diamond amekwenda next level zaidi kwa kuishika Afrika nzima.
Wanapaswa kujitambua sasa....!!!
 
Chameleon ni namba nyingine. Si wa kumlinganisha na diamond
 
Inawezekana yuko sahihi...lakini ishu hapa ni kwamba katumia kigezo gani kuja na conclusion hiyo ??? Asilete porojo zake unjustified banaa. Kwahiyo anataka kusema Diamond hawezi kujaza stadium nchini Uganda?!!? That is too myopic of Camelion..!!!
 
Inawezekana yuko sahihi...lakini ishu hapa ni kwamba katumia kigezo gani kuja na conclusion hiyo ??? Asilete porojo zake unjustified banaa. Kwahiyo anataka kusema Diamond hawezi kujaza stadium nchini Uganda?!!? That is too myopic of Camelion..!!!
 


But this is what people have been saying all the times. The dude is waaaay overrated, sema tu ana bahati ya kupendwa kama hatumii ile michezo ya Kiha (nguvu za giza).
 
Kujaza stadiums hata Diamond anaweza kujaza Kenya na Uganda...
Chamilion namuona mkali kuliko Diamond lakini si kwa kigezo cha kujaza stadiums....
Hata Mr Nice alijaza stadiums East Africa.....je alikuwa mkali kuliko wote?

Very good point, Diamond ni kama Mr. Nice enzi zile.....hana ukali wowote ule, mizizi na ndumba tu za kwao zinamsaidia.
 
Diamond ni mkali...aache masifa ya kijinga...inawezekana kifafa kimeathiri ubongo wake...maake aliwahi shikwa na kifafa na kudondoka toka gorofan pale Impala Hotel...Arusha.
Mkuu una kumbukumbu sana
 
Ukute hata Kiba anajisemea kimoyomoyo "ningekuwa na uwezo wa kucheza kama Simba ningekuwa mbali"
 
huu ndio ukweli ila kwa kuwa watanzania hatupendi kuambiwa ukweli, tutawaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…