Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Wote hao hawana impact na u super staa alionayo daimondJamaa Ni sahihi kabisa kutembea na mabodiguards ila najiuliza mbona boss ruge hakuwa na ulinzi wa aina hiyo na alikua na maadui shazi? Wengine ni Majizo,Kusaga Jembe ni jembe, Mo Dewji, Bakhresa wako na maadui shazi ila ulinzi wa kawaida tu na hawadhuliwi
Yeah diamond wengi wanamchukia sijui kwanini,maana ameajiri na bado anaendelea kuajiri ko youth unemployment rate inapungua na kusolve tatizo la employment he is the king.Huyu jamaa Nasibu anajitahidi sana kufanya kazi na kuajiri watu wengine ila sasa inapoelekea inabidi ajilinde zaidi maana anaitwa mnyonyajji na tapeli na mwonevu. Namshauri ajiangalie sana maana kwa level hii ya kumiliki hata media anajiweka kwenye ushindani fulani hivi washakaji wanaweza kumfanya mbaya hata kwa kumloga..... NI USHAURI TU....
Mwisho wa siku mtamuambia awe anatembea na helmet kichwani mana anaweza kupigwa mawe au kupuliziwa moshi wa sumuππππHuyu jamaa Nasibu anajitahidi sana kufanya kazi na kuajiri watu wengine ila sasa inapoelekea inabidi ajilinde zaidi maana anaitwa mnyonyajji na tapeli na mwonevu. Namshauri ajiangalie sana maana kwa level hii ya kumiliki hata media anajiweka kwenye ushindani fulani hivi washakaji wanaweza kumfanya mbaya hata kwa kumloga..... NI USHAURI TU....
wivu wa mafanikio,halaf mwana anajua kujimwambafai,na kuwakata ngebe madomo kaya yani kwa lugha nyingine anajua kuwakera....Yeah diamond wengi wanamchukia sijui kwanini,maana ameajiri na bado anaendelea kuajiri ko youth unemployment rate inapungua na kusolve tatizo la employment he is the king.
Jibu sahihi kabisaProblem ni moja wanaopenda ni wengi Sana kuliko wanaomchukia ni wachache so Haina haja yakuongeza ulinzi na yeye amekuwa na ulinzi kwasababu yeye ni maarufu na Kila sehemu anapotokea kunakuwa na umati wa watu wanataka kumshika na wengine wanatakupiga picha.
Unajisahaulisha makusudi au.Jamaa Ni sahihi kabisa kutembea na mabodiguards ila najiuliza mbona boss ruge hakuwa na ulinzi wa aina hiyo na alikua na maadui shazi? Wengine ni Majizo,Kusaga Jembe ni jembe, Mo Dewji, Bakhresa wako na maadui shazi ila ulinzi wa kawaida tu na hawadhuliwi
Huyu jamaa Nasibu anajitahidi sana kufanya kazi na kuajiri watu wengine ila sasa inapoelekea inabidi ajilinde zaidi maana anaitwa mnyonyajji na tapeli na mwonevu. Namshauri ajiangalie sana maana kwa level hii ya kumiliki hata media anajiweka kwenye ushindani fulani hivi washakaji wanaweza kumfanya mbaya hata kwa kumloga..... NI USHAURI TU....
Hivi mchawi analogeka?Huyu jamaa Nasibu anajitahidi sana kufanya kazi na kuajiri watu wengine ila sasa inapoelekea inabidi ajilinde zaidi maana anaitwa mnyonyajji na tapeli na mwonevu. Namshauri ajiangalie sana maana kwa level hii ya kumiliki hata media anajiweka kwenye ushindani fulani hivi washakaji wanaweza kumfanya mbaya hata kwa kumloga..... NI USHAURI TU....