Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,404
BANNED???kila mtanzania kachoka na huu uburuzwaji wa serikali ya CCM .
swissme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BANNED???kila mtanzania kachoka na huu uburuzwaji wa serikali ya CCM .
swissme
kwani daktari hafanyi kazi kwa bidii?mbona analipa kodi,aache upuuzi alipe kodi,kwenye kampeni wamekata sana viuno wapuuzi hawa.Anafanya kazo kwa bidii ana haki ya kudai kilicho chake.u
Siku hizi magazeti pendwa hayasambazwi kwenye ofisi za serikali, sijui kama siku hizi yananunuliwa kwakweliWafanyakazi vanavyokatwa PAYE kwenye mishahara awaumii,kwanza zile pesa walizopewa kwenye kampeni walilipa Kodi na walizitumiaje?.TOT awajajuta tu?.Natamani na wao wajute huku wakilipa kodi kwa kila show.Hapa kazi tu,natulipe kodi na naona TRA hii kodi awaikusanyi vizuri natamani wakakague mahesabu upya ya radio Uhuru na gazeti lake ya miaka 5 iliyopita kujiridisha kodi stahili iliyolipwa bila kisahau viwanja vya michezo na majengo .Ova.Tufanye kazi na kodi tulipe.
Waulize twaweza.Siku hizi magazeti pendwa hayasambazwi kwenye ofisi za serikali, sijui kama siku hizi yananunuliwa kwakweli
Hawachelewi kumwambia pale madale ni eneo la shule...diamond kwa manufaa ya muziki wake asiwachokonoe serikali
acha naye aisome namba, mana alizidisha kiherehere kuipigia kampeni CCM mwaka janaWakuu Salaam Sana.
Nimejaribu kusikiliza mahojiano ya diamond kwenye kipindi cha Jahazi kazungumzia suala la TRA kwenda kumdai kodi ilihali yeye kama msanii akiwa bado anadhulumiwa haki zake hasa kataja kipengele cha caller tunes wanachopoteza mapato yao mengi kama wasanii, tukumbuke alifikia kuongea hadi kwa jazba kua serikali isiwalazimishe kuhamia vyema vingine, mimi binafsi nimemuelewa sana kwani Ni muhimu serikali kuandaa mazingira Rafiki ya kibiashara ili Biashara ziwe rahisi na wao wakusanye mapato ya kutosha.
Na akipata kilicho chake.. ampe kaisari cha kwake pia. kila mtu anafanya kazi kwa bidii ktk eneo lake.. yaitwa PAYEAnafanya kazo kwa bidii ana haki ya kudai kilicho chake.u
kwani daktari hafanyi kazi kwa bidii?mbona analipa kodi,aache upuuzi alipe kodi,kwenye kampeni wamekata sana viuno wapuuzi hawa.
Na akipata kilicho chake.. ampe kaisari cha kwake pia. kila mtu anafanya kazi kwa bidii ktk eneo lake.. yaitwa PAYE
sasa kinachomliza nini!!!Lini umeona halipi kodi anayotakiwa kulipa?
Mkuu umesoma uzi lakini??Eeeeh umeshaonaga anaongelea juu ya kuwa mwanachama wa chama ka vile ni mkereketwa anayeishi kwa kusaka vya dezo?
UKAWA wakitaka awatumbuize atafanya hivyo na kwa malipo mbele hakuna diskaunti.