Diamond kachoshwa na siasa na ahadi za uongo zisizo na tija za CCM

Diamond kachoshwa na siasa na ahadi za uongo zisizo na tija za CCM

Mjomba uledi inafikia mahali awarudishe mbuzi wale wasile mpaka maotea
 
Kipindi anapokea mzigo wake Kipindi cha kampeni alikua anakenua tu alipe kodi alizoea kupiga dili na Yule msanii mwenzake
 
Anafanya kazo kwa bidii ana haki ya kudai kilicho chake.u
kwani daktari hafanyi kazi kwa bidii?mbona analipa kodi,aache upuuzi alipe kodi,kwenye kampeni wamekata sana viuno wapuuzi hawa.
 
Wafanyakazi vanavyokatwa PAYE kwenye mishahara awaumii,kwanza zile pesa walizopewa kwenye kampeni walilipa Kodi na walizitumiaje?.TOT awajajuta tu?.Natamani na wao wajute huku wakilipa kodi kwa kila show.Hapa kazi tu,natulipe kodi na naona TRA hii kodi awaikusanyi vizuri natamani wakakague mahesabu upya ya radio Uhuru na gazeti lake ya miaka 5 iliyopita kujiridisha kodi stahili iliyolipwa bila kisahau viwanja vya michezo na majengo .Ova.Tufanye kazi na kodi tulipe.
Siku hizi magazeti pendwa hayasambazwi kwenye ofisi za serikali, sijui kama siku hizi yananunuliwa kwakweli
 
Wasanii wanaposanifiwa na chama chetu pendwa
 
Wakuu Salaam Sana.
Nimejaribu kusikiliza mahojiano ya diamond kwenye kipindi cha Jahazi kazungumzia suala la TRA kwenda kumdai kodi ilihali yeye kama msanii akiwa bado anadhulumiwa haki zake hasa kataja kipengele cha caller tunes wanachopoteza mapato yao mengi kama wasanii, tukumbuke alifikia kuongea hadi kwa jazba kua serikali isiwalazimishe kuhamia vyema vingine, mimi binafsi nimemuelewa sana kwani Ni muhimu serikali kuandaa mazingira Rafiki ya kibiashara ili Biashara ziwe rahisi na wao wakusanye mapato ya kutosha.
acha naye aisome namba, mana alizidisha kiherehere kuipigia kampeni CCM mwaka jana
 
Ananikumbusha kipindi cha kampeni na ile video yake aliyoishoot Airport kwenye nyimbo alisifia sana
 
Anafanya kazo kwa bidii ana haki ya kudai kilicho chake.u
Na akipata kilicho chake.. ampe kaisari cha kwake pia. kila mtu anafanya kazi kwa bidii ktk eneo lake.. yaitwa PAYE
 
Na akipata kilicho chake.. ampe kaisari cha kwake pia. kila mtu anafanya kazi kwa bidii ktk eneo lake.. yaitwa PAYE

Kwani halipi kama wengine, na bado yupo tu bila kesi????!!!!
 
Tumeghairi hatukusanyi kodi tena hata ile sukari tuliyokuwa tumeikamata kwa sababu ya kodi tunaichilia
 
Kama analipa mbona analialia mpaka anataka kuhamia Ukawa..

chige

Eeeeh umeshaonaga anaongelea juu ya kuwa mwanachama wa chama ka vile ni mkereketwa anayeishi kwa kusaka vya dezo?

UKAWA wakitaka awatumbuize atafanya hivyo na kwa malipo mbele hakuna diskaunti.
 
Eeeeh umeshaonaga anaongelea juu ya kuwa mwanachama wa chama ka vile ni mkereketwa anayeishi kwa kusaka vya dezo?

UKAWA wakitaka awatumbuize atafanya hivyo na kwa malipo mbele hakuna diskaunti.
Mkuu umesoma uzi lakini??

Kasema serikali isiwalazimishe wahamie vyama vingine.. Hiyo kauli ina maana gani?? Kama huwa anaona sifa kutangaza kununua majumba basi aone sifa pia kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa. Ajue tu anafanya shughuli zake za mziki kila kona ya nchi kwa amani kwasababu vyombo vya serikali ndivyo vinasimamia hiyo amani. Na hao watu wanalipwa kwa kodi zetu..

Alipe kodi, aache kulia
 
Back
Top Bottom