Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Mkuu kama ni kweli basi chukua like yangu[emoji106]
 
Kwahiyo kwakuwa wewe unamuona mzuri (point No.3) unataka kila mmoja amuone mzuri...
 
Anasema yupo na Domo miaka 9 ila Majizo,Petit,Mwami Rajab,Bdozen nk wamepita alafu unasema wakuoa?once a gold digger....huyo dogo hao wote 2 anaoita wazazi wenzie ni vicheche tu;Tatizo kubwa la baadhi ya maskini akipata anataka kula vitu ambavyo alivikosa hata kama ndaza
 
Mkuu,mwanamke una mtoto wa miezi miwili unamwacha home na kwenda nairobi kukitembeza kwa mwanaume mwingine khee hata kama majizo mfuniaji ila ana moyo wa nyama,enzi za majizo hamisa alimuacha mtoto miezi mitatu akaenda china kutwa kurusha mapisha nusu uchi
Numbisa KUACHWA NA MAJIZO HAIMAANISH KUWA HAMISA HAJATULIA. LABDA MAJIZO MFUNUAJ TU
 
Achaa kuvutaa Bangiiii kijana... Mabeto hakunaa mke Paleee.. Zari ni mara 10000000 kichwani zaidi ya mabeto.. mabeto hanaa akili za maisha kabisaa mondi atafilisikaa kabisaaa akiruhusu hamisa awew na mamlaka na mali zakee...Hamisa aendelee kutoa uch...tu maana ndo kazi anayowezaa
 
Siku utawala ubabe uongozi wa bashite utakapofikia kikomo tusisite kuendelea na mjadala huu......
 
We hamisa mwambie mganga wako anaekupa kiburi dawa zake zimegonga mwamba kamwe hutokuja kuolewa na mondi............ Toto jinga sana wewe
 
Kimbia kwa Hamisa ukachukue mgao wako
 
Unajua hajawahi kutoa mimba [emoji16][emoji16].Kama kudanga hajaanza Leo na kazaa coz diamond anajiweza, embu angepata mimba na chidbenzi uone Kama angeonekana nayo. [emoji380] [emoji380] kingepata Kazi.
Afu anamdomo sana. Kwa hapo sikuungi mkono. Zari ni mwanamke anaejielewa
 
Hivi kwa nini Diamond haoi ?? au kuna masharti amepewa?? Nini kinamzuia kuoa?
Kama ndivyo basi hayo masharti watakuwa wamepewa wengi manake hata Legendary Joseph Haule wa mid 1970's kaoa juzi tu hapa seuze Chibu wa late 1980' s!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…