mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,695
Mkuu kama ni kweli basi chukua like yangu[emoji106]Ahhhhh hapana akili za kuambiwa changanya na zako kwnn akaoe instagramu aisee mwanamke anawaza party tu badala ya kupigana na maisha anapigana kumfanyia MTT sherehe kila siku she is not wife material,hafai kwa uzuri ni mzur kwl kwan unafikir kwnn wanamkataa wakishazaa kina majizo? Huyo zari munamuita bb umeona ivan alivyokuwa akililia warudiane? Chibu mwenyew akasema atakwenda south kwa goti....unadhani wanapenda k hapo? Hapo ni akili ndio zimewavutia! Zar anajielewa anajua shida n nn na anajua kuhaso kutafuta pia anawashauri wanaume wake mambo ya maendeleo!.. Zar aliwah kukataa birthday ya tiffa ya milions of money afu akamwambia chibu pesa aongezee kwenye nyumba chibu akaongezea pesa akanunua nyumba south!...hamisa angeweza hiyo?