Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Ahhhhh hapana akili za kuambiwa changanya na zako kwnn akaoe instagramu aisee mwanamke anawaza party tu badala ya kupigana na maisha anapigana kumfanyia MTT sherehe kila siku she is not wife material,hafai kwa uzuri ni mzur kwl kwan unafikir kwnn wanamkataa wakishazaa kina majizo? Huyo zari munamuita bb umeona ivan alivyokuwa akililia warudiane? Chibu mwenyew akasema atakwenda south kwa goti....unadhani wanapenda k hapo? Hapo ni akili ndio zimewavutia! Zar anajielewa anajua shida n nn na anajua kuhaso kutafuta pia anawashauri wanaume wake mambo ya maendeleo!.. Zar aliwah kukataa birthday ya tiffa ya milions of money afu akamwambia chibu pesa aongezee kwenye nyumba chibu akaongezea pesa akanunua nyumba south!...hamisa angeweza hiyo?
Mkuu kama ni kweli basi chukua like yangu[emoji106]
 
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.

2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.

3. Ni mzuri na ana mvuto.

4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.

Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
Kwahiyo kwakuwa wewe unamuona mzuri (point No.3) unataka kila mmoja amuone mzuri...
 
Anasema yupo na Domo miaka 9 ila Majizo,Petit,Mwami Rajab,Bdozen nk wamepita alafu unasema wakuoa?once a gold digger....huyo dogo hao wote 2 anaoita wazazi wenzie ni vicheche tu;Tatizo kubwa la baadhi ya maskini akipata anataka kula vitu ambavyo alivikosa hata kama ndaza
 
Mkuu,mwanamke una mtoto wa miezi miwili unamwacha home na kwenda nairobi kukitembeza kwa mwanaume mwingine khee hata kama majizo mfuniaji ila ana moyo wa nyama,enzi za majizo hamisa alimuacha mtoto miezi mitatu akaenda china kutwa kurusha mapisha nusu uchi
Numbisa KUACHWA NA MAJIZO HAIMAANISH KUWA HAMISA HAJATULIA. LABDA MAJIZO MFUNUAJ TU
 
Achaa kuvutaa Bangiiii kijana... Mabeto hakunaa mke Paleee.. Zari ni mara 10000000 kichwani zaidi ya mabeto.. mabeto hanaa akili za maisha kabisaa mondi atafilisikaa kabisaaa akiruhusu hamisa awew na mamlaka na mali zakee...Hamisa aendelee kutoa uch...tu maana ndo kazi anayowezaa
 
Siku utawala ubabe uongozi wa bashite utakapofikia kikomo tusisite kuendelea na mjadala huu......
 
We hamisa mwambie mganga wako anaekupa kiburi dawa zake zimegonga mwamba kamwe hutokuja kuolewa na mondi............ Toto jinga sana wewe
 
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.

2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.

3. Ni mzuri na ana mvuto.

4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.

Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
Kimbia kwa Hamisa ukachukue mgao wako
 
Unajua hajawahi kutoa mimba [emoji16][emoji16].Kama kudanga hajaanza Leo na kazaa coz diamond anajiweza, embu angepata mimba na chidbenzi uone Kama angeonekana nayo. [emoji380] [emoji380] kingepata Kazi.
Afu anamdomo sana. Kwa hapo sikuungi mkono. Zari ni mwanamke anaejielewa
 
Hivi kwa nini Diamond haoi ?? au kuna masharti amepewa?? Nini kinamzuia kuoa?
Kama ndivyo basi hayo masharti watakuwa wamepewa wengi manake hata Legendary Joseph Haule wa mid 1970's kaoa juzi tu hapa seuze Chibu wa late 1980' s!!!
 
Back
Top Bottom