Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Wewe kweli Great thinker-sijui why people don't see this, Diamond kazungukwa na waswahili left,right and centre,anahitaji mtu anayeweza ku think outside the box,anayeweza kuona over the horizon
Ukweli mchungu.
Iron sharpens Iron.
 
Namba mbili imetoa thamani ya huu Uzi uonekane ni wa watoto wasio bales.
 
Wote mliochangia hebu jitafakarini juu na tabia na mienendo ya ndugu jamaa na marafiki wa kike wanaowazunguka. Je wamekamilika, na kama la, je hawahitaji kupata haki ya kupenda na kupendwa?
 
Mtu kumpa mimba haina maana kuwa yupo committed! Mnaweza kuwa hata kwenye ndoa na msiwe committed! Mtu aliye committed KATU hawezi kuwa tayari kuachana na yule aliye committed nae! Unfortunately kuna wengine wanadhani ndoa ndio commitment kumbe ndoa ni makaratasi tu yale! Kinyume cake, mtu kama hayupo kwenye ndoa ndo wanadhani sio committed kumbe commitment ni zaidi ya ndoa na watoto! Na ndio maana Diamond alimwambia wazi Hamisa kwamba hawezi kumwacha Zari! Hiyo ndiyo commitment
Kwa utofauti wa miaka kati ya zari na domo soon, domo ata mdrop zari kumbuka anaelekea 40 asa iv, na dogo ndo anaitafuta 30, so kwa kijana mdogo mwenye maendeleo na jina kama diamond sizan kama ataendelea kuwa committed na zari.
 
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.

2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.

3. Ni mzuri na ana mvuto.

4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.

Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.

UANAMITINDO...NICHEKA SANA..NTAHAMA JUKWAA LA SIASA BUT SIYO HILI
 
Mwanamke anayeweza kuexpose picha na msgs zako kwenye jamii kwa nia yeyote ile HAFAI kua mke!

Umesema kuna wenye hela kumzidi Diamond, Ila hajawa nao NI KWELI, lakini kila Mguu unakiatu cha size yake na kila Malaya anabei yake NUKTA
Hivi mtu akikukana hadharani kwenye media, si na wewe unatakiwa uweke ushahidi hadharani au haki ni ya upande mmoja?

Kumbuka Hamisa sio Bashite anayegoma kuweka vyeti hadharani.
 
Hivi mtu akikukana hadharani kwenye media, si na wewe unatakiwa uweke ushahidi hadharani au haki ni ya upande mmoja?

Kumbuka Hamisa sio Bashite anayegoma kuweka vyeti hadharani.
Ilikuwaje hadi akamkana hadharani?! Ni kwamba hayo mapenzi yao yalianzia na kuwa ya hadharani; au?! Watu walishakubaliana kila kitu na hadi familia inafahamu; sasa alikuwa na sababu gani za msingi za kutaka LAZIMA Instagram nao wafahamu!!!
 
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.

2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.

3. Ni mzuri na ana mvuto.

4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.

Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.
Hiyo bahati inakufaa wewe olewa na chibu ufaidi kma wengine,unaweza jengewa nyumba south sudan
 
Back
Top Bottom