Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

[emoji2] [emoji2] ndoa ni commitment sana mimba lazima wategeshe si wanataka kusecure future za watoto wao

Sio Diamond; wasanii majority sio waoaji wala waolewaji! Si umewaona Prof J na Sugu na wenyewe! Wote hawa wameoa wakiwa almost 40! Kiba na kujifanya kote kwamba he's a good boy; nae anaishia kupiga mimba tu na kukimbia!

Halafu wa wasichana wa mjini ndo unakuta wanapenda sana kujipeleka huku wakijua fika wakipigwa mimba tu; wanakimbiwa!

Njoo nikuoe uishi kwenye neema.
Sasa mchicha mwiba unaemsifia mwanamke aolewe na chibu mimi shababi,njoo nikufumue rinda dada
 
Hao wenye hela hawana umaarufu wa dimond,na pia kuoa mwanamke aliezaa na mwanaume mwngine ilihal matunzo anatoa kama kawaida hata kama mmetengana ni janga la taifa
 
Boraa diamond Apigee Nyetoo kulikoo kumuoa Hamisa...
 
Wewe ungependa kuchaguliwa mke/mume?

Huyo hamisa ana uzuri gani?
 
mkuu kwenye maswala ya ndoa kumshauri mtu amuoe fulani nadhani ni kuingilia feeling za mtu yeye anajua akiwazacho thats why hadi sasa hajaoa
 
Vigezo vya Hamisa:
1. Ana umri mzuri kwako.

2. Anakupenda na wala hakupendei hela, coz wenye hela kukuzidi wapo wengi lakini kaamua kuwa na wewe kitambo.

3. Ni mzuri na ana mvuto.

4. Ni mama mwenye malengo ya familia, coz angekuwa mcharuko angetoa mimba, lakini kakubali kulea bila kujali carrier yake ya uanamitindo.

Ushauri wa bure bwana mdogo Diamond.

View attachment 742122
Si tunataka ushauri Wa hela.
 
Back
Top Bottom