Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

Wewe kweli Great thinker-sijui why people don't see this, Diamond kazungukwa na waswahili left,right and centre,anahitaji mtu anayeweza ku think outside the box,anayeweza kuona over the horizon
Ukweli mchungu.
Iron sharpens Iron.
 
Namba mbili imetoa thamani ya huu Uzi uonekane ni wa watoto wasio bales.
 
Wote mliochangia hebu jitafakarini juu na tabia na mienendo ya ndugu jamaa na marafiki wa kike wanaowazunguka. Je wamekamilika, na kama la, je hawahitaji kupata haki ya kupenda na kupendwa?
 
Kwa utofauti wa miaka kati ya zari na domo soon, domo ata mdrop zari kumbuka anaelekea 40 asa iv, na dogo ndo anaitafuta 30, so kwa kijana mdogo mwenye maendeleo na jina kama diamond sizan kama ataendelea kuwa committed na zari.
 


UANAMITINDO...NICHEKA SANA..NTAHAMA JUKWAA LA SIASA BUT SIYO HILI
 
Mwanamke anayeweza kuexpose picha na msgs zako kwenye jamii kwa nia yeyote ile HAFAI kua mke!

Umesema kuna wenye hela kumzidi Diamond, Ila hajawa nao NI KWELI, lakini kila Mguu unakiatu cha size yake na kila Malaya anabei yake NUKTA
Hivi mtu akikukana hadharani kwenye media, si na wewe unatakiwa uweke ushahidi hadharani au haki ni ya upande mmoja?

Kumbuka Hamisa sio Bashite anayegoma kuweka vyeti hadharani.
 
Hivi mtu akikukana hadharani kwenye media, si na wewe unatakiwa uweke ushahidi hadharani au haki ni ya upande mmoja?

Kumbuka Hamisa sio Bashite anayegoma kuweka vyeti hadharani.
Ilikuwaje hadi akamkana hadharani?! Ni kwamba hayo mapenzi yao yalianzia na kuwa ya hadharani; au?! Watu walishakubaliana kila kitu na hadi familia inafahamu; sasa alikuwa na sababu gani za msingi za kutaka LAZIMA Instagram nao wafahamu!!!
 
Hiyo bahati inakufaa wewe olewa na chibu ufaidi kma wengine,unaweza jengewa nyumba south sudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…