Diamond kama unataka ndoa, muoe Hamisa Mobetto

[emoji2] [emoji2] ndoa ni commitment sana mimba lazima wategeshe si wanataka kusecure future za watoto wao


Njoo nikuoe uishi kwenye neema.
Sasa mchicha mwiba unaemsifia mwanamke aolewe na chibu mimi shababi,njoo nikufumue rinda dada
 
Hao wenye hela hawana umaarufu wa dimond,na pia kuoa mwanamke aliezaa na mwanaume mwngine ilihal matunzo anatoa kama kawaida hata kama mmetengana ni janga la taifa
 
Boraa diamond Apigee Nyetoo kulikoo kumuoa Hamisa...
 
Wewe ungependa kuchaguliwa mke/mume?

Huyo hamisa ana uzuri gani?
 
mkuu kwenye maswala ya ndoa kumshauri mtu amuoe fulani nadhani ni kuingilia feeling za mtu yeye anajua akiwazacho thats why hadi sasa hajaoa
 
Si tunataka ushauri Wa hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…