Team Bashite mambo?[emoji1][emoji1][emoji1]Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
bila kukosaView attachment 492872
Naona sasa dawa imeanza kuingia kama tulivyotabiri hapo mwanzo yakuwa huyu kijana kaingia mlango mbayaa na sasa keshaanza kuweweseka na kuomba huruma ya mchungaji na yawatanzania
Mbali na hayo nimeona pia wasanii baadhi washaanza kumtetea kuwa hakuwa na nia mbaya ili kesho asioge dawa ya gwajima.
Mie naomba tuu gwajima asikubali huu upuuzi kwani kijana hana adabu na mnafiki mkubwa na tunaomba kesho ayamwage tuu.
Na kingine inatia shaka huyu kijana kwanini dawa imeingia mapema sana kuna nn nyuma yake.
Tukutane kesho
Hahahaha asubiri kristapeni zake keshoView attachment 492872
Naona sasa dawa imeanza kuingia kama tulivyotabiri hapo mwanzo yakuwa huyu kijana kaingia mlango mbayaa na sasa keshaanza kuweweseka na kuomba huruma ya mchungaji na yawatanzania
Mbali na hayo nimeona pia wasanii baadhi washaanza kumtetea kuwa hakuwa na nia mbaya ili kesho asioge dawa ya gwajima.
Mie naomba tuu gwajima asikubali huu upuuzi kwani kijana hana adabu na mnafiki mkubwa na tunaomba kesho ayamwage tuu.
Na kingine inatia shaka huyu kijana kwanini dawa imeingia mapema sana kuna nn nyuma yake.
Tukutane kesho
Umenichekesha sana broNadhani Diamond amemjibu Gwajima makusudi kwaajili ya Kujipa promo ya kuzidi kuongelewa na wimbo wake uzidi kusikilizwa zaidi, Imagine ule umati wafuasi wa gwajima ambao ni walokole pale wengi hawasikilizi bongofleva. Sasa itawabidi kuingia wasafi.com ili kuupakua huo wimbo ili wasikilize ni wapi mchungaji wao ametajwa, so hiyo ni biashara na ni faida nzuri kwa diamond... Akili kubwazzz
[emoji16][emoji16][emoji16] Diamond amesurrender lakini atapigwa tu atake asitakeSafi diamond. Mjinga MPE cheo.
Yaaa!Diamond ALIPULIWE TU maana hakuna namna nchi haipo serious....mambo ya kibwege tu hii serikali ya hovyo sana DAB angeondolewa haya yote yasingetokea...
Team Bashite mambo?[emoji1][emoji1][emoji1]Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
View attachment 492872
Naona sasa dawa imeanza kuingia kama tulivyotabiri hapo mwanzo yakuwa huyu kijana kaingia mlango mbayaa na sasa keshaanza kuweweseka na kuomba huruma ya mchungaji na yawatanzania
Mbali na hayo nimeona pia wasanii baadhi washaanza kumtetea kuwa hakuwa na nia mbaya ili kesho asioge dawa ya gwajima.
Mie naomba tuu gwajima asikubali huu upuuzi kwani kijana hana adabu na mnafiki mkubwa na tunaomba kesho ayamwage tuu.
Na kingine inatia shaka huyu kijana kwanini dawa imeingia mapema sana kuna nn nyuma yake.
Tukutane kesho
Sisi wapenda ubuyu bila kwadithiwa tunawahi viti vya mbele. Hatutaki mambo ya YouTube. Tunataka kitu live. Hatutaki kuyasikia kwakina Mange cjui LepumbuziSiku Dhambi kubwa ambayo nitaifanya na haitahitajii msamahaa ni kuja kuingia kwenye Kanisaa la Gwajimaa.... hiyo kwangu itakuwa dhambi kubwa sanaaa!! Hata dunia nzima Abakie yeye Nitaabudu vitu vingine alivyo umba Mungu ila sio kuingia kanisani kwake
Diamond kawa muungwana tu ila Diamond is hundred times bigger than gwajima!Mkome kuchezea visivyochezewa ungeshushwa na umaarufu wako.