Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Hiki kitendo cha Diamond kutokuwa mzito kwenye kujishusha ndo kimemfanya kufika hapo alipo na nina uhakika kwenye safari yake ya kutegemea sapoti ya watu atafika mbali!!!!!
 
acha anyooshwe next time asicheze na watu wenye machungu uyo bashite amliwaze coz yeye ndo kamwandia
 
View attachment 492872
Naona sasa dawa imeanza kuingia kama tulivyotabiri hapo mwanzo yakuwa huyu kijana kaingia mlango mbayaa na sasa keshaanza kuweweseka na kuomba huruma ya mchungaji na yawatanzania

Mbali na hayo nimeona pia wasanii baadhi washaanza kumtetea kuwa hakuwa na nia mbaya ili kesho asioge dawa ya gwajima.

Mie naomba tuu gwajima asikubali huu upuuzi kwani kijana hana adabu na mnafiki mkubwa na tunaomba kesho ayamwage tuu.

Na kingine inatia shaka huyu kijana kwanini dawa imeingia mapema sana kuna nn nyuma yake.

Tukutane kesho
bila kukosa
 
Mmmh Gwajima ni nani huyu mtu ningependa kujua historia yake ya nyuma anaogopeka sana huyu mtu hadi mkulu anapata presha na huyu mtu.
 
View attachment 492872
Naona sasa dawa imeanza kuingia kama tulivyotabiri hapo mwanzo yakuwa huyu kijana kaingia mlango mbayaa na sasa keshaanza kuweweseka na kuomba huruma ya mchungaji na yawatanzania

Mbali na hayo nimeona pia wasanii baadhi washaanza kumtetea kuwa hakuwa na nia mbaya ili kesho asioge dawa ya gwajima.

Mie naomba tuu gwajima asikubali huu upuuzi kwani kijana hana adabu na mnafiki mkubwa na tunaomba kesho ayamwage tuu.

Na kingine inatia shaka huyu kijana kwanini dawa imeingia mapema sana kuna nn nyuma yake.

Tukutane kesho
Hahahaha asubiri kristapeni zake kesho
 
Anaonea vidagaa tu huyu askofu uchwara. Kwa nini hakuinanga serikali pale ilipomfukuza Tanganyika Packers alipotoa vyombo vyake kupeleka kwenye mkutano wa Chadema kipindi cha uchaguzi?
 
Nadhani Diamond amemjibu Gwajima makusudi kwaajili ya Kujipa promo ya kuzidi kuongelewa na wimbo wake uzidi kusikilizwa zaidi, Imagine ule umati wafuasi wa gwajima ambao ni walokole pale wengi hawasikilizi bongofleva. Sasa itawabidi kuingia wasafi.com ili kuupakua huo wimbo ili wasikilize ni wapi mchungaji wao ametajwa, so hiyo ni biashara na ni faida nzuri kwa diamond... Akili kubwazzz
Umenichekesha sana bro
 
Gwajima huwa anapiga panapouma
Yaani tuombe amsamehe laaah mond kazi anayo
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Diamond ALIPULIWE TU maana hakuna namna nchi haipo serious....mambo ya kibwege tu hii serikali ya hovyo sana DAB angeondolewa haya yote yasingetokea...
Yaaa!
Naunga mkono alipuliwe tu!!
Ukiangalia kwa makini mistari ya Nasibu utaona amemtaja Bashite kisanii kwa kumvisha nguo(konda) lakini Bishop amemtaja jina full.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena hiyo nyama iwe kiti moto
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hapo bora amugeuze majitu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inawezekana domo kafanya hivyo kwa influence ya bashite (rejea shilawadu saga). Hana namna sasa acha hummer igonge kiwiko😀😀😀
View attachment 492872
Naona sasa dawa imeanza kuingia kama tulivyotabiri hapo mwanzo yakuwa huyu kijana kaingia mlango mbayaa na sasa keshaanza kuweweseka na kuomba huruma ya mchungaji na yawatanzania

Mbali na hayo nimeona pia wasanii baadhi washaanza kumtetea kuwa hakuwa na nia mbaya ili kesho asioge dawa ya gwajima.

Mie naomba tuu gwajima asikubali huu upuuzi kwani kijana hana adabu na mnafiki mkubwa na tunaomba kesho ayamwage tuu.

Na kingine inatia shaka huyu kijana kwanini dawa imeingia mapema sana kuna nn nyuma yake.

Tukutane kesho
 
Siku Dhambi kubwa ambayo nitaifanya na haitahitajii msamahaa ni kuja kuingia kwenye Kanisaa la Gwajimaa.... hiyo kwangu itakuwa dhambi kubwa sanaaa!! Hata dunia nzima Abakie yeye Nitaabudu vitu vingine alivyo umba Mungu ila sio kuingia kanisani kwake
Sisi wapenda ubuyu bila kwadithiwa tunawahi viti vya mbele. Hatutaki mambo ya YouTube. Tunataka kitu live. Hatutaki kuyasikia kwakina Mange cjui Lepumbuzi
 
Back
Top Bottom