Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Mkome kuchezea visivyochezewa ungeshushwa na umaarufu wako.
AAA wapi hawezi kumfanya lolote[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
Diamond kakosea sanaa.....Asinge post chochotee yeye ni msanii kuongelewa iwe kwa ukweli au uongo yeye ni msanii inabidi aongeleweeee kilaaa mahalari sasa kumwambia akae kimya itamfanya Gwajima Ajione kama yeye hawezi kuambiwa chochote

Gwajima ni mtu mzima kufanya mambo ya kipuuzi kisa hataambiwa na Ataenda kanisani kusema ni ujingaa.....Mbona Nay anamsema wazi wazi na maisha yanaendaaa......Diamond kuna kipi atasemwaa ambacho sisi hatujakisia kwa wambea wa mitandaoni.....Diamond apige kaziiiiii

100% Nimeupenda wimbo wake na nina usupport 100% sichoki kuuludia kusikiliza
Mkuu ukweli Mond katuangusha sana mashabiki wake yeye angekaa kimya kweli sikuona haja ya yeye kujiingiza katika suala divisive kama hilo labda ana maslahi nalo. Bt kiukweli hakufanya poa.
 
Nimeusikiliza wimbo wa Mondi na naheshimu maoni yake! Kuna waliopenda na kuna wasioupenda ila ni maoni yake na tuyaheshimu. Linalonishangaza kidogo ni kwa jinsi Mondi alivyomjibu Gwajima kwamba chonde chonde j2 isije ikawa chungu mwaka mzima. Swali kwani Mondi anaogopa nini? Kuna lolote lipo nyuma ya pazia juu ya mafanikio yake ambayo watu wakiyajua yatashusha mafanikio yake?
 


Inaonekana baada ya kikao ulipendekezwa wimbo matokeo yake ni hapo. Kuhushu piracy kwanini wasimtafute waziri husika? Kwani kwenye mikoa mingine walieshitakia ana mamlaka nayo? Kuna unafki katika hili.
 
Nimeusikiliza wimbo wa Mondi na naheshimu maoni yake! Kuna waliopenda na kuna wasioupenda ila ni maoni yake na tuyaheshimu. Linalonishangaza kidogo ni kwa jinsi Mondi alivyomjibu Gwajima kwamba chonde chonde j2 isije ikawa chungu mwaka mzima. Swali kwani Mondi anaogopa nini? Kuna lolote lipo nyuma ya pazia juu ya mafanikio yake ambayo watu wakiyajua yatashusha mafanikio yake?

Daimondo sio msafi kiasi hicho. Ila inaonekana anakula na wale walioko matawi ya juu.
 
0372b39288205a561be95599652556e2.jpg
Hapa pana swali la msingi
 
Mi nilichoelewa ni kuwa...., domo ana maronya ronya mengi saaana kiasi cha kutishika.

Huu ndo ulikuwa muda wa kujipatia maujiko sasa...endapo ni msafi!
 
Wajinga wapo na wapo wanaopenda wajinga hao wawepo na husifia ujinga wao kwa kuwa ujinga huo ndiyo huwafanya wao wawepo madarakani na hutumia kila mbinu kuhakikisha wajinga wao hao wanaendelea kuwepo.

Hivi kweli huyo dogo anataka kusema kwamba Gwajima hana akili hadi aambiwe na Mange kwamba alichofanyiwa na Daudi Bashite ni kitu kibaya? Yaani Gwajima hajui kama alitendwa vibaya na Bashite mpaka aambiwe na Mange?
 
Diamond ALIPULIWE TU maana hakuna namna nchi haipo serious....mambo ya kibwege tu hii serikali ya hovyo sana DAB angeondolewa haya yote yasingetokea...
Wenzio wafanya biashara hao.
 
Watu kama diamond wana unafiki sana.Kwa hili gwajima asinyamaze.Ule wimbo unachochea uoga!!asijifanye eti hatujauelewa.,ooh ukituliza akili.,,watu wametuliza akili still wameelewa,,

Msiwafanye watz ni wajinga kama zamani Tafadhali
,asemwe ili akome kuwa mnafiki.,,tena akili zimkae sawa,,maana watu wanadai Uhuru WA kuongea,tusiogopane mmoja kwa mwingine,,Leo hii anakuja kutunga wimbo WA ajabu katika kipindi kigumu hivi..,,naomba sana gwajima asimbakize.Amfundishe,awe real man na sio unafiki unafiki,!!!

Am not his fan,na pia huwa sina chuki za kijinga kisa simshabikii
 
DIAMOND kila anachokifanya ni MJADALA WA KITAIFA,hakika MOND ni brand kubwa sana na anachokipata au alichonacho ni kidogo sana.Humu kuna thread si chini ya 3 zinazungumzia vitu vinavyokaribiana.
Hata Faizafoxy anazungumziwa humu na kuanzishiwa tread wapi harmorapa unashangaa mond
 
Kwani Naseeb hajui bishop alitoa ujumbe gani ili yaishe? Aombwe radhi na Makonda mwenyewe na sio kamati au ushabiki Wa kusuluhisha.

Tusubiri kuambiwa analea Mtoto Wa kiba kwa zari
Mtu anaeweza kumuogopa Gwajima hajielewi tu..
 
Back
Top Bottom