Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
AAA wapi hawezi kumfanya lolote[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Mkome kuchezea visivyochezewa ungeshushwa na umaarufu wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AAA wapi hawezi kumfanya lolote[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Mkome kuchezea visivyochezewa ungeshushwa na umaarufu wako.
Mkuu ukweli Mond katuangusha sana mashabiki wake yeye angekaa kimya kweli sikuona haja ya yeye kujiingiza katika suala divisive kama hilo labda ana maslahi nalo. Bt kiukweli hakufanya poa.Diamond kakosea sanaa.....Asinge post chochotee yeye ni msanii kuongelewa iwe kwa ukweli au uongo yeye ni msanii inabidi aongeleweeee kilaaa mahalari sasa kumwambia akae kimya itamfanya Gwajima Ajione kama yeye hawezi kuambiwa chochote
Gwajima ni mtu mzima kufanya mambo ya kipuuzi kisa hataambiwa na Ataenda kanisani kusema ni ujingaa.....Mbona Nay anamsema wazi wazi na maisha yanaendaaa......Diamond kuna kipi atasemwaa ambacho sisi hatujakisia kwa wambea wa mitandaoni.....Diamond apige kaziiiiii
100% Nimeupenda wimbo wake na nina usupport 100% sichoki kuuludia kusikiliza
Kwani Mond kakosea Nini?Mkuu ukweli Mond katuangusha sana mashabiki wake yeye angekaa kimya kweli sikuona haja ya yeye kujiingiza katika suala divisive kama hilo labda ana maslahi nalo. Bt kiukweli hakufanya poa.
Nimeusikiliza wimbo wa Mondi na naheshimu maoni yake! Kuna waliopenda na kuna wasioupenda ila ni maoni yake na tuyaheshimu. Linalonishangaza kidogo ni kwa jinsi Mondi alivyomjibu Gwajima kwamba chonde chonde j2 isije ikawa chungu mwaka mzima. Swali kwani Mondi anaogopa nini? Kuna lolote lipo nyuma ya pazia juu ya mafanikio yake ambayo watu wakiyajua yatashusha mafanikio yake?
Hapa pana swali la msingi
Weww ndo mchonganishi sasa.Mnafiki mkubwa huyu dogo......yaani diri za bashite za kishamba sn inaonesha jinsi alivowakuja.....JOGOO LA SHAMBA KM BABA YAKE SIZONJE
Wenzio wafanya biashara hao.Diamond ALIPULIWE TU maana hakuna namna nchi haipo serious....mambo ya kibwege tu hii serikali ya hovyo sana DAB angeondolewa haya yote yasingetokea...
Hata Faizafoxy anazungumziwa humu na kuanzishiwa tread wapi harmorapa unashangaa mondDIAMOND kila anachokifanya ni MJADALA WA KITAIFA,hakika MOND ni brand kubwa sana na anachokipata au alichonacho ni kidogo sana.Humu kuna thread si chini ya 3 zinazungumzia vitu vinavyokaribiana.
Mtu anaeweza kumuogopa Gwajima hajielewi tu..Kwani Naseeb hajui bishop alitoa ujumbe gani ili yaishe? Aombwe radhi na Makonda mwenyewe na sio kamati au ushabiki Wa kusuluhisha.
Tusubiri kuambiwa analea Mtoto Wa kiba kwa zari