Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Diamond kamuomba Gwajima yaishe

View attachment 492872
Naona sasa dawa imeanza kuingia kama tulivyotabiri hapo mwanzo yakuwa huyu kijana kaingia mlango mbayaa na sasa keshaanza kuweweseka na kuomba huruma ya mchungaji na yawatanzania

Mbali na hayo nimeona pia wasanii baadhi washaanza kumtetea kuwa hakuwa na nia mbaya ili kesho asioge dawa ya gwajima.

Mie naomba tuu gwajima asikubali huu upuuzi kwani kijana hana adabu na mnafiki mkubwa na tunaomba kesho ayamwage tuu.

Na kingine inatia shaka huyu kijana kwanini dawa imeingia mapema sana kuna nn nyuma yake.

Tukutane kesho
Dogo kesho ataijua jinsi almasi inavyoyeyushwa kuwa maji
 
Bwihi..! [emoji16] [emoji16]

Analilia huruma sio.. haya tumejua tusiyoyajua
 
Hahahahaa[emoji23] kijana kapigwa jebu!!!!! moja tu kakaa. ....shkamoo bishop Gwajima.
 
No! Noo! Big no!. Bishop kesho aendelee na ibada ya kuigeuza almasi kuwa majitaka
 
EHE MWENYEZI MUNGU WAPE WATANZANIA ROHO YA UELEWA NA UTAMBUZI,! NAJUA BABA WENGI WALIKOSA ELIMU YA KUJIAMINI NA KUKOSA MSINGI IMARA WA KUJIKUBALI! EHE BABA WAPE ROHO YA HEKIMA NA BUSARA! BABA UKWELI WANA ROHO ZA KUPENDA USHABIKI,KUFATA MKUMBO,UMBEA,KUTOCHAMBUA MADA,KIUFUPI WENGI NI BENDERA FATA UPEPO! NI ROHO TU IZO BABA!, ZITOE BABA!DEAR GOD WAPE UWEZO NA UPEO WA KIMAWAZO JAPOKUWA ELIMU YAO NDO CHANZO CHOTE ILA WAEZA BABA! BABA WAUMBIE AKILI MPYA WAPE UWEZO MPYA! FUNGUA ROHO ZA TAMBUZI KWAO BABA! NAJUA NI KAMA TOO LATE MANAKE WENGI WAO NI MENTALLY DISORDERED THEIR ,OBLANGATA ALREADY BRAIN- PICKERS/BRAIN TRUST/BRAIN-PAN/BRAIN FLAGs! ILA WEWE WAEZA BABA! AMEN! ##
 
Tulia upigwe jebuu kwanza unaomba poo mapema ivyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
 
Kaka mda mwingine msichoshe bongo zenu kuwaza ujinga kwani watoto wa kike, wapenzi, wanawake waliotuzidi tunapowaita mama tuna maana ya kuwa ni mama zetu? wanawake tunapowaita dada je? vivyo kwa wanaume bashite wewe
Ok nilijua una vinasaba na gwajima.
Eti baba.
Mara baba askofu mara baba paroko mara baba mtakatifu.
 
Nadhani Diamond amemjibu Gwajima makusudi kwaajili ya Kujipa promo ya kuzidi kuongelewa na wimbo wake uzidi kusikilizwa zaidi, Imagine ule umati wafuasi wa gwajima ambao ni walokole pale wengi hawasikilizi bongofleva. Sasa itawabidi kuingia wasafi.com ili kuupakua huo wimbo ili wasikilize ni wapi mchungaji wao ametajwa, so hiyo ni biashara na ni faida nzuri kwa diamond... Akili kubwazzz


Wanunue vipi wakati Mange ameshausambaza bure tangu asubuhi, kwenye magroup ya whatsup umesambazwa ....
 
Wanunue vipi wakati Mange ameshausambaza bure tangu asubuhi, kwenye magroup ya whatsup umesambazwa ....
Sasa walokole na magroup ya mange wapi na wapi? Tambua kwamba hapa naongelea wale wamama na watu wazima walioshiba imani,
Kuna mameneja wapo kwenye vitengo nyeti Hapa nchini na ni wafuasi wa gwajima, sasa watu kama hao wanapata wapi muda wa kupiga umbea kwenye magroup ya mange... Not to that extent
 
Mmh! Apa kuna mchezo tunachezewa hii abar kila siku au ndo topic za kuongelew kanisan
 
Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea
Inaelekea wewe huujui msemo ule usemao 'usianzishe ugomvi wa mawe wakati unaishi ktk nyumba ya vioo' pia huwezi jua hofu ya D ipo wapi ? Anajua mwenyewe jinsi anavyoishi na kunawatu ukiwagusa wanakuanika wazi madili yote uliyopiga.
 
Kasha yachokoza unafikiri mange atakuacha kirahisi rahisi tu? atatoa mpaka vya chumbani kabisa
 
Kama ni Kweli basi Gwajima anaogopeka zaidi ya wamama wa vigodoro huko Tanga yani jamaa kawahi mapema lazima tuwe na Watumishi wa Mungu wasema kweli si wale wa nananii,wale waitaliano sjui Wapi wale
 
Back
Top Bottom