Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kama namuona Gwajima anavyoandaa vitendea kazi vyake vya kesho tehe tehe teheAmesha nunua na photocopy machine
Hata bashite alitaka kiki kama hiyo matokeo yake kiki anayoipata ni kudhauliwa tu.Nadhani Diamond amemjibu Gwajima makusudi kwaajili ya Kujipa promo ya kuzidi kuongelewa na wimbo wake uzidi kusikilizwa zaidi, Imagine ule umati wafuasi wa gwajima ambao ni walokole pale wengi hawasikilizi bongofleva. Sasa itawabidi kuingia wasafi.com ili kuupakua huo wimbo ili wasikilize ni wapi mchungaji wao ametajwa, so hiyo ni biashara na ni faida nzuri kwa diamond... Akili kubwazzz
Moto uko palepale, sidhani kama karidhia msamaha huoHa haaa haaaa gwajima!
Huo moto kesho sijui angeuzima nani!
Hongera baba mchungaji kutoa alert mapema
Tehe tehe tehe kesho mapema siti za mbele na gauni langu la Kitenge, nipate kitu liveKashafika maana allikua anamlia timing kijana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Anawatoleaa sadaka waumini wote
Huwezi jua, ndio maana mond kaomba msamahaHata mimi nashangaa sana.
Uyo Diamond kama ni kusema wamemsema sana wamemdiss vya kutosha so sioni kipya ambacho uyo gwajima angekisema
Ni baba ako?Kumchokoza baba askofu jumamosi ni kujitafutia matatizo tu