Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Hahahah
924d87320e18e86c4c7d4d76c866fe27.jpg
c9115ff426f23fbd0ab517f408d70510.jpg
328979abfc582f07f771ac31e7528070.jpg
 
Kwani Naseeb hajui bishop alitoa ujumbe gani ili yaishe? Aombwe radhi na Makonda mwenyewe na sio kamati au ushabiki Wa kusuluhisha.

Tusubiri kuambiwa analea Mtoto Wa kiba kwa zari
 
Jitokeze hadharani bila id fake na haya MANENO yako ya shobo uone kama next Sunday hutauza Gazeti. Cheza na wengine, Gwaji is noma bro!!
Kwa hiyo hayo ndio yanamfanya awe wa maana?
elimu elimu elimu
 
Huyu kenge mpuuzi sana....nilikua namuelewa lakini kuanzia sasa apite hivi na manyimbo yake
 
[emoji23] [emoji23] nawaza tu gwajiboy akianza kurusha makombora yake kwa domo
 
Nadhani Diamond amemjibu Gwajima makusudi kwaajili ya Kujipa promo ya kuzidi kuongelewa na wimbo wake uzidi kusikilizwa zaidi, Imagine ule umati wafuasi wa gwajima ambao ni walokole pale wengi hawasikilizi bongofleva. Sasa itawabidi kuingia wasafi.com ili kuupakua huo wimbo ili wasikilize ni wapi mchungaji wao ametajwa, so hiyo ni biashara na ni faida nzuri kwa diamond... Akili kubwazzz
 
Baba askofu tafadhali tafadhali baada ya post yako nilijiunga na bundle la week nikuone live Ukiyeyesha diamond...
Dah nshaingia hasara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tusikubali bundle kwenda bure. Maana nilitaka ku download YouTube. Maombi yote yakesho
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tusikubali bundle kwenda bure. Maana nilitaka ku download YouTube. Maombi yote yakesho
Askofu Hawezi kutuacha wakiwa kesho atapiga hata intro..
 
Kesho nitakuja kanisani Ubungo Kanisani na Askofu wao akianza kwenda kinyume na mahubiri ya Yesu Kristo basi Revolver silencer inamuhusu.
 
Kesho nitakuja kanisani Ubungo Kanisani na Askofu wao akianza kwenda kinyume na mahubiri ya Yesu Kristo basi Revolver silencer inamuhusu.
 
Back
Top Bottom