Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Hilo neno linanchekeshaga sanaUzuri mchungaji hajawahi kutuangusha.. Single touch Double manifestation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo neno linanchekeshaga sanaUzuri mchungaji hajawahi kutuangusha.. Single touch Double manifestation
Sema simbahaaaa Double manifestation Diamond mwenyewe kakiri jumapili ya kesho itakua chungu...
Okay! Hapo sawa, nilidhani ni kugezwa msukule labda. Poa.Anaogopwa kwa kuweka data za ukwel hadharani, je ilo ni jambo baya..!?
Mkuu nimependa ile ya kumgeuza Serengeti LagerKupitia ukarasa wake wa instagram. Diamond kasema hakumuimba Konda na Gwajima kwa ubaya. Kajishusha haraka sana. Kamuomba asimgeuze maji Nami naungana na Diamond kumuomba mchuganji asimgeuze maji kijana wetu, huenda wimbo tulikua hatujaulewa.
wanasema Simba kageuka kawa nyauuSema simba
Hii nimeipendaaaaaaaa bureeeeMinlitaka kumuomba baba mchugaji Gwajima amgeuze serengeti ya baridi nimywe na nyama choma
Gwajima hana lolote,ni wajinga na wale misukule wake kule kanisani ndiyo wanaomshadadia.Kupitia ukarasa wake wa instagram. Diamond kasema hakumuimba Konda na Gwajima kwa ubaya. Kajishusha haraka sana. Kamuomba asimgeuze maji Nami naungana na Diamond kumuomba mchuganji asimgeuze maji kijana wetu, huenda wimbo tulikua hatujaulewa.
Jitokeze hadharani bila id fake na haya MANENO yako ya shobo uone kama next Sunday hutauza Gazeti. Cheza na wengine, Gwaji is noma bro!!Gwajima hana lolote,ni wajinga na wale misukule wake kule kanisani ndiyo wanaomshadadia.