Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Diamond aonyeshe vyeti. Labda jina lake sio Nasibu
 
Atakuwa anaogopa watoto wale nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mabaya unayajua wewe?
Sa hii mbona ni sifa mbaya kwa Gwajima, Mkristu, mfuasi wa YESU kwa cheo cha uaskof, watu wanamuogopa kwamba atawatendea mabaya, hata kama ni kwa dua, Mkristu na dua baya? Mungu yupi huyo atakayeombwa hilo dua? Ni huyu Jehovah aliyetambulishwa ktk Biblia kuwa ni Mungu wa UPENDO? Mtajifunua tu ngozi zetu.
 
Askofu angetuambia kama huyu mtoto wa kiume ni wa Diamond kweli au la!
 
Askofu anatisha kwa kweli. Usimchezee hata kidogo. Kesho mapema ntakuwa kanisan
 
Hii itakuwa kweli movie sio bure.
 

Attachments

  • 2017-04-08-18-11-17-1.png
    2017-04-08-18-11-17-1.png
    839.5 KB · Views: 30
QuickMemo%2B_2017-04-08-18-15-39.png

Naona sasa dawa imeanza kuingia kama tulivyotabiri hapo mwanzo yakuwa huyu kijana kaingia mlango mbayaa na sasa keshaanza kuweweseka na kuomba huruma ya mchungaji na yawatanzania

Mbali na hayo nimeona pia wasanii baadhi washaanza kumtetea kuwa hakuwa na nia mbaya ili kesho asioge dawa ya gwajima.

Mie naomba tuu gwajima asikubali huu upuuzi kwani kijana hana adabu na mnafiki mkubwa na tunaomba kesho ayamwage tuu.

Na kingine inatia shaka huyu kijana kwanini dawa imeingia mapema sana kuna nn nyuma yake.

Tukutane kesho
 
Back
Top Bottom