Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Inawezekana.Huwezi jua, ndio maana mond kaomba msamaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana.Huwezi jua, ndio maana mond kaomba msamaha
Dogo kesho ataijua jinsi almasi inavyoyeyushwa kuwa majiView attachment 492872
Naona sasa dawa imeanza kuingia kama tulivyotabiri hapo mwanzo yakuwa huyu kijana kaingia mlango mbayaa na sasa keshaanza kuweweseka na kuomba huruma ya mchungaji na yawatanzania
Mbali na hayo nimeona pia wasanii baadhi washaanza kumtetea kuwa hakuwa na nia mbaya ili kesho asioge dawa ya gwajima.
Mie naomba tuu gwajima asikubali huu upuuzi kwani kijana hana adabu na mnafiki mkubwa na tunaomba kesho ayamwage tuu.
Na kingine inatia shaka huyu kijana kwanini dawa imeingia mapema sana kuna nn nyuma yake.
Tukutane kesho
Kaka mda mwingine msichoshe bongo zenu kuwaza ujinga kwani watoto wa kike, wapenzi, wanawake waliotuzidi tunapowaita mama tuna maana ya kuwa ni mama zetu? wanawake tunapowaita dada je? vivyo kwa wanaume bashite weweNi baba ako?
Ok nilijua una vinasaba na gwajima.Kaka mda mwingine msichoshe bongo zenu kuwaza ujinga kwani watoto wa kike, wapenzi, wanawake waliotuzidi tunapowaita mama tuna maana ya kuwa ni mama zetu? wanawake tunapowaita dada je? vivyo kwa wanaume bashite wewe
Gwajima hana lolote,ni wajinga na wale misukule wake kule kanisani ndiyo wanaomshadadia.
Nadhani Diamond amemjibu Gwajima makusudi kwaajili ya Kujipa promo ya kuzidi kuongelewa na wimbo wake uzidi kusikilizwa zaidi, Imagine ule umati wafuasi wa gwajima ambao ni walokole pale wengi hawasikilizi bongofleva. Sasa itawabidi kuingia wasafi.com ili kuupakua huo wimbo ili wasikilize ni wapi mchungaji wao ametajwa, so hiyo ni biashara na ni faida nzuri kwa diamond... Akili kubwazzz
[emoji15]Ok nilijua una vinasaba na gwajima.
Eti baba.
Mara baba askofu mara baba paroko mara baba mtakatifu.
Hivi huyu mtu mnamuogopa yeye _ni nani hasa katika himaya hii ya mungu?
Sasa walokole na magroup ya mange wapi na wapi? Tambua kwamba hapa naongelea wale wamama na watu wazima walioshiba imani,Wanunue vipi wakati Mange ameshausambaza bure tangu asubuhi, kwenye magroup ya whatsup umesambazwa ....
Inaelekea wewe huujui msemo ule usemao 'usianzishe ugomvi wa mawe wakati unaishi ktk nyumba ya vioo' pia huwezi jua hofu ya D ipo wapi ? Anajua mwenyewe jinsi anavyoishi na kunawatu ukiwagusa wanakuanika wazi madili yote uliyopiga.Kanikwazaa!
Angemuacha tu huyo mbwa kichaa kesho abweke tu
Kelele zake za kuongeza idadi ya sadaka tumezizoea