DUME SURUALI
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 782
- 1,084
Hiyo inaitwa kuomba "POO"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YAANI MOND KESHO ANGEIONA CHUNGU BADO CD ZA NGONO ZA ZARIhaaaaaa mbavu zangu mambo.. Ivan Kesho angekuepo kwa wanafamilia ya ufufuo na uzima
Anaogopwa kwa kuweka data za ukwel hadharani, je ilo ni jambo baya..!?Sa hii mbona ni sifa mbaya kwa Gwajima, Mkristu, mfuasi wa YESU kwa cheo cha uaskof, watu wanamuogopa kwamba atawatendea mabaya, hata kama ni kwa dua, Mkristu na dua baya? Mungu yupi huyo atakayeombwa hilo dua? Ni huyu Jehovah aliyetambulishwa ktk Biblia kuwa ni Mungu wa UPENDO? Mtajifunua tu ngozi zetu.
KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANIDiamond kanikera shabiki ake
Duuuh. Watu mna hasiraMinlitaka kumuomba baba mchugaji Gwajima amgeuze serengeti ya baridi nimywe na nyama choma
haaaa Double manifestation Diamond mwenyewe kakiri jumapili ya kesho itakua chungu...Uzuri mchungaji hajawahi kutuangusha.. Single touch Double manifestation