Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Watu wanakubali kutumika na Bashite mpaka vichwa vyao vinajaa ff.

Tukundane,na wenye mawazo kama wewe, mnakubali kumeza ndoano ya shetani, ufalme wa mbingu hamtouona. Nasema hivyo kwa kuwa mnaamini maneno ya Mchungaji mfitinishi Gwajima.
 
Wasanii kaeni mbali na Bashite.....atawapoteza.

Diamond kashapoteza fans weengi wengi weengi mpaka sasa...

Ujinga tu wa kuendekeza siasa kijinga.

Unajiungaje nao ktk tension kama iliyokuwepo...

Shule muhim sanaa...
 
mondi hana chakuchangia juu maendeleo ya taifa hili kwa muziki wake bora aendelee kufanya makollabo na akina Mahombi na neyo
 
Mwakyembe alipokuwa waziri wa uchukuzi aliwahi kuomba dola imchunguze Diamond .
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Sisi wapenda ubuyu bila kwadithiwa tunawahi viti vya mbele. Hatutaki mambo ya YouTube. Tunataka kitu live. Hatutaki kuyasikia kwakina Mange cjui Lepumbuzi
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
umenishinda tabia
 
Amsamehe ila ampe sharti akatoe remix jina gwajima alitoe kwenye wimbo na ampe wiki tu kufanya marekebisho kinyume na hapo apigweeeeeeeeer
 
Mungu saidia kabando kangu kasikate Leo kesho kanifikishe nishuudie alimasi inavyogeuka kuwa maji " manake huku nilipo vocha za TIGO tabu tupo"
 
Diamond kimbelembele chake kitamponza tuyajue tusiyoyajua yanayomuhusu, don't mess with Gwajima/Mange. Tukutane kesho kanisani ufufuo na uzima
 
Najiuliza kama watu wa nchi nyingine wapo kama watanzania
Unapokua na viongozi vilaza kumbuka hata wananchi wanakua hvyohvyo.... Na bado...

Saivi watanzania wote tunakesha jadili upuumbavu..kla kukicha
 
Gwajima...lazima amvue c.hu.pi ..huyu jamaa...yule mchungaji achokozwi kizembe...akakuacha hivi hivi....labda aende akaombe msamaha..kama alivyofanya Sudi..Brauna (Brown)
 
Back
Top Bottom