Diamond kaniponza jamani

Human being by nature is greedy and selfish,thus everyone need glorification b4 others,binafs sikusapot kwa ulichofanya busara yako ingekua kukaa kimya kuepusha shar,ona sasa ushalikoroga! Siku nyingine ujifunze
 
Pole huyo shem atakua na undungu na bob junior nadhani.
 

Kwamuktadha huo siku ukipata access nae lazma umtie neno sio???


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
wewe mtafute huyo D ila sijui mziki wa wema utauweza ?Na uache kusifia wanaume mbele ya mumeo
 
Wewe umemtumia hata msg ya kumsalimia? Umempigia au unalalamika? Labda kajinyonga kwa wivu. Na ni utoto sana wa fikra kupost Kiila kinachokutokea na bwana ako kwenye mitandao
 
hahahaha kesho msifie rafiki yake uone jinsi gani jino linaweza ng'olewa bila ganzi.
 
Yani Baby nimeamin kuwa w si wife material kabisa, umenikosea alafu umekuja kunianika humu ukadhani sipo JF? Sasa subiri moto wake wala usinitafute kabisa na lain nabadili..eboooooo

Ha ha ha he is back nimembembeleza mpz wangu nw mpz motomoto ,pole kwa kujiigizia kua ni yy.
 
hahaha...hayo yako yananafuu,nakumbuka siku moja nilikua kwa mshkaji wangu hom kwake tunaangali move ya kibongo sasa dem wa jamaa alikuwa anamsifia sana jamaa flani wa bongo movie,kiukweli mshkaji wangu hakuchelewesha mabishano yakaanza gafla nikasikia paaa.kuangalia dem analia kala kibao cha maana.USHAURI,unapokua na mpenzi wako usipende kumsifia mwanaume yeyote tofauti na yeye.
 

Haaahaaaa...anaogopa watu wanagawa game bure kwa mshikaji
 
kwani sifa gani na facts ulizo kuwa wampa jamaaa......
 
Hivi kweli mkiwa mmekaa na huyo mtani wako wa jadi halafu akashupalis kumsifia binti msanii kuwa ni mwanamke wa shoka, anajituma, amefanikiwa kimaisha na wife material wewe Kinyaa hutanuna kweli? Kuangalia tu maajabu ya muumbaji (yaani totoz zinazopita) mkiwa na mtani wa jadi huwa inakuwa issue ije kuwa kumsifia mmoja wao?
 
ni vigumu sana mwanaume kumsifia mwanamke mwngne mbele ya mke wke coz anajua atamkwaza mke hata kama huyo mwanamke ni maaruf vipi bt nyie wanawake huwa mnaona kawaida tu pasipo kujal hisia za mume wako, tena utackia yule mkaka ana hela au handsome sana wakat hapo unajua mume wako ni kapuku mba!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…