Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo manake!
Sredi ako klosed!
Ulikuwa absentee leo kipindi cha kwanza!
Maelezo yasiyopungua full scape Tatu.
Angalizo!
Mwandiko wa Asprin naujua.ole wako akuandikie
Yaaan namuona ana mambo ya kitoto kweli,duuuu ctarudia tena kumbe ni hatari mm nilikua cjui
Fala huyoJana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na mpira,
Na yeye akahisi mimi kuboreka akachukua headfon na yeye asikilize kile nichokua nackiliza ,wakati anachukua ulikua wimbo mpya wa Diamond unapigwa,
Basi bwana mara tukaanza kuongea mambo ya wanamuziki,nikawa namsifia Diamond bwana kwamba bwana mdogo anajitahidi ameanzia mbali ila he is somewhere now anajuhudi kwenye mziki yeye akawa anamponda .
kweli sijui hajui kuimba sijui mshamba sisi akataka na mimi ni msupport,alivyoona nampa fact eeeee niliamsha hasira za kipare ,
Ananiambia kama unampenda huyo Diamond si akakuoe sasa umefuata nini kwangu,
kiukweli sijui mambo ya Damond kunioa yalifikaje,aliongea sheet nyingi kwakweli,yaani mpaka sahizi kanuna hata sms ya morning sijapata na si kawaida yake yaani,
Hebu niambie wakaka hiiii inakuaje maaana simwelewi kwakweli,
Na anajua mimi na celebrity sio kivile sina hata access nao kwamba nitaweza hata kua karibu nao ,atakua amepatwa na nini huyu mwanaume?