Diamond kapoteza mvuto?

kweli diamond anajua tatizo sasa hivi nyimbo zake sizielewi kabisa...Mimi nyimbo mbili mpaka leo nazisikiliza hizo tu..Nitampata wapi.na Ukimuona
 

King Kiba huyu huyu aliyesanda kwenye mziki baada ya kushindwa kuhimili mziki wa wcb na kukimbilia soka?,huyu saizi yake ni kina best naso,hamkuti hata kondeboy
 
Joh makini?
 
Huyu Diamond mikiki yake yakuzalilisha wanawake wake imempotezea mvuto, pia kuacha na na Zarina na uhusiano na mobetto umemfanya watu wamchoke, maana wanawake ndo mashabiki wakuu sasa yeye kutwa kuzalilisha wanawake lazima uchokwe.
 
Umeandika point hapa
 

Mwacheni kijana hata USA hakuna msanii ambaye anatamba milele, Tunatakiwa kujiuliza mbona hatupati akina Diamond wapya?
 
we niwawapi ??jama kapiga show za nguvu u.s.a na madagascař na mayotte na ipo nyengin soon ya canada ..je wew umeshapiga ngapi?
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3]kawa panya
 
Dah, naona umeamua kumpa za uso jamaa. Wakati mwingine ni wivu tu, hakuna lolote, hapo anatamani yeye ndo angekuwa Diamond.
 
Huyu Diamond mikiki yake yakuzalilisha wanawake wake imempotezea mvuto, pia kuacha na na Zarina na uhusiano na mobetto umemfanya watu wamchoke, maana wanawake ndo mashabiki wakuu sasa yeye kutwa kuzalilisha wanawake lazima uchokwe.
Acha kutetea wanawake wenzio, waliyataka wenyewe, Diamond anawakilisha tabia ya mastaa duniani kote hawajahi kudumu katika ndoa au mahusiano, kama nikuzalilishwa walitaka wao wenyewe
 
Acha ushabiki w kijinga ww inamaana huoni dili zake wakati sahv jamaaa anapiga dili kubwakubwa alafu za nje ya nchi mfano berliaire
Nambie msanii gani kafanya hivyo bongo zaidi ya kuishia ubalozi tu[emoji41]
 
Ni ajabu sana mwanaume unalalamika eti mwananaume mwenzako hana mvuto. Unataka akuvutie ili iweje?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
UMETISHA SANA MKUU, UMEANDIKA FACTS. Ukweli ni kuwa kwa Afrika Mashariki katika upande wa Music huwezi kuwaepuka WcB. Wameteka soko la mziki kiasi kwamba redio pendwa (Mawingu) iko mashakani. WcB ni Taasisi imara mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…